-
Jihad Islami ya Palestina: Muqawama hauwezi kutokomezwa
Jan 13, 2026 03:11Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad ya Kiislamu ya Palestina amesisitiza katika taarifa yake kwamba Muqawama na mapambano ya ukombozi wa Palestina ni sehemu muhimu ya taifa la Palestina na hayawezi kutokomezwa au kuangamizwa.
-
Somalia yafuta mikataba yote iliyosainiwa na UAE
Jan 13, 2026 02:33Somalia imeamua kufuta makubaliano yote yaliyosainiwa na Umoja wa Falme za Kiarabu, ili kukabiliana na hatua za Abu Dhabi zinazodhoofisha mamlaka, umoja na uhuru wa nchi hiyo. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Baraza la Mawaziri la Somalia.
-
RSF yaua watu 27 huko Sennar, mashariki mwa Sudan
Jan 13, 2026 02:10Watu 27 wameuawa na wengine 13 kujeruhiwa katika shambulio la wapiganaji wa Rapid Support Forces lililolenga mji wa Sinja, wakati watu waliokimbia makazi yao kutoka Darfur Kaskazini wakiendelea kuongezeka, huku Jeshi la Sudan likitangaza mauaji ya mamia ya wanachama wa RSF katika maeneo tofauti.
-
Kiongozi Muadhamu asifu maandamano ya kitaifa Iran kama pigo kwa njama za maadui
Jan 13, 2026 00:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, amepongeza maandamano ya kitaifa yaliyoonyesha uungaji mkono kwa Jamhuri ya Kiislamu, akisema wingi wa wananchi waliojitokeza “umeandika historia” na kuvuruga njama za maadui waliolenga kuibua misukosuko kupitia vibaraka wao wa ndani.
-
Ghana imelipa deni la dola bilioni 1.47 la sekta ya nishati
Jan 13, 2026 00:13Ghana imelipa jumla ya dola za Marekani bilioni 1.47 mwaka 2025 ili kufuta madeni ya muda mrefu ya sekta ya nishati na kurejesha dhamana ya Benki ya Dunia kwa sekta hiyo. HIi ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana Jumatatu na Wizara ya Fedha ya nchi hiyo.
-
Andrei Kartapolov: Russia inapinga uingiliaji wa nchi ajinabi; iko pamoja na Iran
Jan 13, 2026 00:12Mbunge wa ngazi ya juu katika bunge la Russia ambaye pia ni Mkuu wa Kamati ya Ulinzi katika Duma amekariri uungaji mkono wa nci yake kwa Iran na kusema Moscow inapinga uingiliaji wa nchi ajinabi khususan uingiliaji wa nchi za Magharibi katika masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
ICJ yaanza kusikiliza kesi ya mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Rohingya dhidi ya Myanmar
Jan 13, 2026 00:12Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) jana ilianza kusikiliza kesi kubwa dhidi ya Myanmar kwa kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya, kabila la walio wachache kutoka Jimbo la Rakhine nchini Myanmar.
-
Baqaei: Njia ya mawasiliano iko wazi kati ya Iran na Marekani ili kubadilishana jumbe
Jan 13, 2026 00:10Esmail Baqaei Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa njia ya mawasiliano iko wazi kati ya Abbas Aragchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Steve Witkoff Mjumbe Maalumu wa Marekani ili kubadilishana jumbe kila inapohitajika.
-
Kwa nini Misri inapinga kuhamishwa kwa nguvu Wapalestina hadi Somaliland?
Jan 13, 2026 00:10Misri imetangaza kupinga vikali kuhamishwa kwa lazima kwa Wapalestina hadi Somaliland eneo lililotangaza kujitenga na Somalia.
-
Uingiliaji kati wa Marekani nchini Iran; mfano wazi wa kuyumbisha usalama na kuhimiza vurugu
Jan 12, 2026 09:21Iran imeeleza malalamiko yake makali dhidi ya kauli za Marekani za uingiliaji kati katika barua yake kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.