-
Utafiti: Takriban asilimia 90 ya watu katika nchi za Kiarabu wanapinga kuanzishwa uhusiano na Israel
Jan 08, 2026 22:52Idadi kubwa ya watu katika Ulimwengu wa Kiarabu wanapinga kuitambua Israel na kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo ghasibu. Hii ni kwa mujibu wa uchunguzi mpya wa maoni wa kikanda.
-
Ustawi wa uhusiano wa Iran na nchi za Asia ya Kati 2025, sababu na matunda yake
Jan 08, 2026 22:51Uhusiano wa Iran na nchi za Asia ya Kati ulistawi sana katika mwaka uliopita waw 2025 na kuna sababu mbalimbali zilizopelekea kushuhudiwa jambo hilo lenye manufaa mengi.
-
Maandamano yatanda Marekani huku utawala wa Trump ukimtetea ajenti wa ICE aliyempiga risasi na kumuua mwanamke
Jan 08, 2026 10:02Maandamano makubwa yameenea kote nchini Marekani baada ya wakala wa Idara ya Uhamiaji na Forodha (ICE) kumpiga risasi na kumuua mwanamke huko Minneapolis, huku Makamu wa Rais, JD Vance akitetea hadharani vitendo vya shirika hilo la Shirikisho.
-
Afrika Kusini: Hatutazuia mpango wa Washington wa kuwapa hifadhi wazungu waliowachache
Jan 08, 2026 09:33Afrika Kusini imesema haitapinga mpango wenye utata wa serikali ya Washington wa kuwapeleka Marekani raia wazungu walio wachache wa Afrika Kusini.
-
Bobi Wine: Nitapitia upya mikataba ya mafuta ya Uganda iwapo nitachaguliwa Rais
Jan 08, 2026 09:18Bobi Wine mgombea mkuu wa upinzani katika uchaguzi wa kiti cha urais nchini Uganda uliopangwa kufanyika wiki ijayo, amesema kuwa atapitia upya makubaliano yaliyofikiwa kati ya nchi hiyo na makampuni ya mafuta duniani iwapo ataibuka na ushindi. Amesema ataifanyia marekebisho mikataba yoyote ambayo haina manufaa na maslahi kwa watu wa Uganda.
-
Wacolombia waandamana kulaani vikali vitisho vya kijeshi vya Trump
Jan 08, 2026 09:12Maelfu ya wananchi wa wa Colombia wamefanya maandamano nchi nzima kulaani vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya nchi yao kama vile vya kuishambulia kijeshi Venezuela.
-
Wakazi wa Greenland: Tuna wasiwasi na mashinikizo ya Marekani kwa ajili ya kujimilikisha kisiwa hiki
Jan 08, 2026 09:06Wakazi wa kisiwa cha Greenland wameelezea wasiwasi wao kuhusu nia ya Marekani ya kujimilikisha kisiwa hicho kikubwa katika eneo la Aktiki, huku mijadala kuhusu mamlaka ya kujitawala ardhi hiyo ikipamba moto.
-
Amri ya Trump ya kuitoa Marekani kwenye taasisi 66 za kimataifa; nembo ya kiburi cha Washington
Jan 08, 2026 06:36Ikulu ya Marekani, White House, imetangaza kuwa, Donald Trump ametoa amri ya kujitoa Marekani kwenye taasisi 66 za kimataifa ambazo Washington inadai kuwa hazitumikii tena maslahi ya Marekani.
-
Iran: Filihali sio muda mwafaka wa kufanya mazungumzo na Marekani
Jan 08, 2026 03:06Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kwa sasa sio muda mwafaka wa kufanya mazungumzo na Marekani.
-
SWAPO yaitaka Marekani imuachie Maduro bila masharti yoyote
Jan 08, 2026 02:58Chama tawala nchini Namibia cha South West Africa People's Organization (SWAPO), kimetoa wito wa kuachiliwa huru mara moja na bila masharti yoyote Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe.