-
ECOWAS yasisitiza kuheshimiwa uhuru wa Venezuela kufuatia uvamizi wa kijeshi wa Marekani
Jan 05, 2026 04:32Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeitaka jamii ya kimataifa kuheshimu uhuru na mamlaka ya kitaifa ya Venezuela kufuatia mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya nchi hiyo yaliyopelekea kukamatwa Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe.
-
Hamas yailaani vikali Israel kwa kuendelea kukiuka usitishaji vita Gaza
Jan 05, 2026 04:28Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeilaani vikali Israel kwa kuendelea kukiuka makubaliano ya usitishaji mapigano katika Ukanda wa Gaza na kutahadharisha kuwa hatua kama hizo zinatishia kudhoofisha makubaliano hayo yanayolegalega.
-
Magaidi washambulia soko katika jimbo la Niger, Nigeria na kuuwa watu wasiopungua 50
Jan 05, 2026 04:25Polisi wa Nigeria wameripoti kuwa watu wasiopungua 50 wameuawa katika shambulio lililofanywa na magaidi wenye silaha katika soko la kijiji katika Wilaya ya Kabe, eneo la Serikali ya Mtaa ya Borgu katika Jimbo la Niger.
-
Rais wa Colombia atahadharisha: Amerika ya Latini inapasa kuungana la sivyo watafanywa kama watumwa
Jan 05, 2026 04:20Rais Gustavo Petro wa Colombia ametahadharisha kuwa nchi za Amerika ya Latini ni lazima ziungane, kinyume chake zitakabiliwa na hatari ya kufanywa kama watumwa. Rais wa Colombia ametamka haya kufuatia vitisho mtawalia vya Rais Donald Trump wa Marekani vinavyojumuisha uwezekano wa kufanyika oparesheni ya kijeshi dhidi ya Colombia.
-
Mtaalamu wa Russia: Mkataba wa ushirikiano wa kimkakati kati ya Iran na Russia; hatua muhimu ya 2025
Jan 05, 2026 04:15Igor Matveev, profesa na mtaalamu wa masuala ya siasa wa nchini Russia ameutaja Mkataba Kamili wa Kimkakati uliosainiwa kati ya Iran na Russia mwanzoni mwa mwaka jana kuwa hatua muhimu katika uhusiano kati ya mataifa haya mawili.
-
Kamanda: Baada ya kushindwa vita vya Juni, US na Israel zinaendesha 'vita laini' kuvuruga utulivu Iran
Jan 04, 2026 23:47Kamanda Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Marekani na utawala wa kizayuni wa Israel zinaendesha "vita laini" ili kuvuruga uthabiti na utulivu nchini likiwa ni jaribio la kufidia kushindwa kwao katika vita vya siku 12 vya mwezi Juni zilivyoanzisha dhidi ya Iran.
-
Viongozi wa Iraq: Qassem Soleimani alikuwa na mchango mkubwa katika kuliangamiza kundi la Daesh
Jan 04, 2026 23:15Viongozi wa Iraq wamesisitiza mchango muhimu wa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani katika kuliangamiza kundi la kigaidi la Daesh kulinda mafanikio ya ushindi huo.
-
Wanamgambo wa RSF washambulia kwa droni maeneo muhimu ya Sudan
Jan 04, 2026 23:15Wanamgambo wa Kikosi cha Usaidizi wa Haraka (RSF) wameshambulia vituo muhimu vya Sudan kwa kutumia ndege zisizo na rubani, na kusababisha uharibifu mkubwa kwenye vituo hivyo.
-
Umoja wa Maulamaa wa Muqawama wakosoa ulimwengu wa Kiislamu kwa uzembe kuhusu hali ya Gaza
Jan 04, 2026 23:14Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa wa Muqawama amekosoa vikali uzembe wa Ulimwengu wa Kiislamu kuhusiana na hali ya Ukanda wa Gaza.
-
Vyombo vya habari vya Israel: Madawa ya kulevya ni kisingizio tu; shabaha ya Trump ni mafuta ya Venezuela
Jan 04, 2026 23:14Vyombo vya habari vya Israel vimekiri kwamba, lengo la Rai wa Marekani Donald Trump la kuanzisha shambulio la kijeshi dhidi ya Venezuela halikuwa kupambana na biashara haramu ya madawa ya kulevya bali kupora rasilimali za nchi hiyo.