-
Ushirikiano wa Tehran na Moscow; ushirika wa kimkakati katika njia ya mfumo mpya wa kimataifa
Dec 19, 2025 08:03Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia kuendelea kwa ushirikiano wa kimkakati na ushirikiano kati ya Tehran na Moscow.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Tuwaombee ushindi Mujahidina wa Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 19, 2025 07:55Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa wa Tehran amesema kuwa, tuna wajibu wa kuwaombea dua Mujahidina wanaojitolea kila kitu chao kwa ajili ya kupigania haki na kutafuta radhi za Mwenyezi Mungu.
-
ICC: Vikwazo vya US ni 'hujuma' dhidi ya haki duniani
Dec 19, 2025 07:43Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imelaani vikwazo vya hivi karibuni vya Marekani dhidi ya majaji wawili wa korti hiyo ya Umoja wa Mataifa.
-
Kwa mara nyingine Pep Guardiola aikingia kifua Palestina
Dec 19, 2025 07:20Kocha maarufu wa timu ya ligi kuu ya Uingereza ya Mancester City kwa mara nyingine tena ameonesha uungwana na amechukua hatua ya kibinadamu ya kuwahami na kuwakingia kifua wananchi madhlumu wa Palestina.
-
Mauaji yaongezeka Western Cape hasa Cape Town, nchini Afrika Kusini
Dec 19, 2025 07:19Takwimu za hivi karibuni zaidi za vitendo vya uhalifu nchini Afrika Kusini zinaonesha kuwa zaidi ya watu 1,000 waliuawa katika Mkoa wa Western Cape kati ya mwezi Julai na Septemba mwaka huu, huku Cape Town ikiwa kitovu cha vitendo vya uhalifu na vurugu katika eneo hil.
-
Jenerali Mkuu wa Sudan akutana na Rais wa Misri, vita vinaendelea
Dec 19, 2025 07:19Jenerali Mkuu wa Sudan, Abdel-Fattah al Burhan, amekutana na Rais wa Misri, Abdel-Fattah el-Sissi mjini Cairo huku kukiwa na shinikizo linalozidi kuongezeka la kuhimiza kutatuliwa mgogoro wa vita nchini Sudan haraka iwezekanavyo.
-
Mvurugiko wa hali ya hewa, Morocco yakumbwa na mawimbi ya baridi kali
Dec 19, 2025 07:18Katika kile kinachoonekana wazi kuwa ni madhara ya uchafuzi wa mazingira na mvurugiko wa hali ya hewa kutokana na uharibifu mkubwa wa hewa unaofanywa na madola ya viwanda duniani, taarifa kutoka Morocco zinasema kuwa, nchi hiyo ya jangwa imekumbwa na mawimbi makubwa ya baridi kali ambayo hayajawahi kutokea.
-
Guterres: Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya majaji wa ICC vinatia wasiwasi mkubwa
Dec 19, 2025 04:19Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, ameelezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu vikwazo vya hivi karibuni vya Marekani dhidi ya majaji wawili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), akisisitiza jukumu la mahakama hiyo katika kuhakikisha haki kimataifa.
-
Assange awasilisha malalamiko dhidi ya Taasisi ya Nobel, asema ni chombo cha vita si amani
Dec 19, 2025 03:59Mwanzilishi wa WikiLeaks, Julian Assange, amewasilisha kesi ya jinai dhidi ya Taasisi ya Nobel huko Sweden kufuatia uamuzi wa taasisi hiyo wa kutoa Tuzo ya Amani ya Nobel kwa kiongozi wa upinzani wa Venezuela, Maria Corina Machado.
-
Ufaransa: Polisi wavamia nyumba na ofisi ya Waziri wa Utamaduni kwa madai ya ufisadi
Dec 19, 2025 03:16Polisi wa Ufaransa wamevamia nyumba ya Waziri wa Utamaduni, Rachida Dati, pamoja na makao makuu ya wizara na ofisi yake katika manispaa ya Paris, kufuatia kufunguliwa uchunguzi dhidi yake kuhusu tuhuma za ufisadi, utumiaji mbaya wa madaraka na ubadhirifu wa fedha za umma.