-
Gharama Halisi ya Vita vya Marekani dhidi ya Iran: Mara Nne ya Makadirio ya Pentagon
Aug 05, 2026 06:40Gazeti la Uingereza la The Telegraph limefichua kuwa gharama halisi ya vita vya Marekani dhidi ya Iran ni mara nne zaidi ya kiasi kilichotajwa na Pentagon.
-
Ghaza yafanya maziko makubwa zaidi ya halaiki ya Wapalestina 112 waliouliwa kikatili na Israel
Aug 05, 2026 03:04Wapalestina wamewazika watu 112 wa ukoo mmoja waliouawa katika mashambulizi ya kinyama ya anga yaliyofanywa na jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel mnamo Novemba 2023, baada ya mabaki yao kupatikana kutoka chini ya vifusi mwezi uliopita.
-
Vikosi vya Yemen vyashambulia shabaha muhimu ndani ya Uwanja wa Ndege wa Najran, Saudi Arabia
Aug 05, 2026 02:55Jeshi la Yemen limekishambulia kituo cha kimkakati ndani ya uwanja wa ndege wa Najran kusini mwa Saudi Arabia, ikiwa ni jibu kwa mashambulizi na mzingiro unaoendelea kufanywa na utawala wa Riyadh dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
ElBaradei kwa Netanyahu: Umeiharibu Gaza, sasa unazungumzia "uhuru" wa watu wake!
Aug 05, 2026 02:53Mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) Mohamed ElBaradei, amemhutubu Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu akisema: "Umeiharibu Gaza, na sasa unazungumzia uhuru wa watu wake!"
-
Mkuu wa Aramco: Kufungwa Lango-Bahari la Hormuz kumesababisha ‘mshtuko mkubwa kwa usambazaji wa mafuta katika historia’
Aug 05, 2026 02:51Mkurugenzi wa kampuni kubwa ya mafuta ya Saudi Arabia ya Aramco ameeleza kuwa kufungwa Lango-Bahari la Hormuz kumesababisha "mshtuko mkubwa zaidi wa usambazaji wa mafuta katika historia," na kwamba masoko ya dunia yamepoteza mapipa ya mafuta zaidi ya bilioni 2.6 tangu kuanza kutekelezwa hatua hiyo.
-
Vyombo vya habari Ulaya vyafichua mpango wa kifisadi wa Rais wa FIFA na wandani wa Trump
Aug 05, 2026 02:38Jarida la The Times limefichua kiasi kikubwa cha fedha ambazo rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino, angeweka mfukoni iwapo mpango wa kuuza Kombe la Dunia ungetekelezwa.
-
Mamilioni ya Wairani washiriki Arubaini ya Imam Hussein, watoa wito wa kulipiza kisasi damu ya Kiongozi aliyeuawa shahidi
Aug 04, 2026 14:48Mamilioni ya Wairani wamekusanyika kote nchini kuadhimisha Arubaini ya Imam Hussein bin Ali (AS), ambayo inaashiria siku ya 40 baada ya kuuawa shahidi mjukuu huyo wa Mtume wetu Muhammad (SAW) huko Karbala nchini Iraq mwaka 61 Hijria.
-
Araqchi: Arubaini ya Imam Hussein ni onyesho kubwa la umoja wa kitaifa kati ya Iran na Iraq
Aug 04, 2026 10:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araqchi ameyataja matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein baina ya miji miwili mitakatifu ya Najaf na Karbala nchini Iraq kuwa ni onyesho kubwa la umoja usiovunjika kati ya watu wa Iran na Iraq, akitilia mkazo viunganishi vikubwa vya kidini na kidugu vinavyoendelea kuimarisha uhusiano wa pande mbili.
-
Mshauri wa Kiongozi Muadhamu: Iran iliishinda Marekani katikati ya 'vita vya tatu vya Trump'
Aug 04, 2026 10:30Mohsen Rezaei, Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amesema kuwa Marekani ilishindwa katikati ya "vita vya tatu vya Rais wa Marekani Donald Trump" dhidi ya Iran, huku vikosi vya ulinzi vya Iran vikivuruga mipango ya Marekani, kuilazimisha kuhamisha vituo vyake vya amri na wanajeshi wengi wa nchi hiyo wakiangamizwa na kujeruhiwa; hatua inayozidisha kushindwa kwingine kukubwa katika rekodi ya kufeli ya Marekani.
-
Sheikh Naim Qassim: Mazungumzo ya moja kwa moja ya Lebanon na Israel hayana tija yoyote isipokuwa aibu na fedheha
Aug 04, 2026 10:28Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Lebanon na Israel hayajakuwa na matokeo yoyote isipokuwa aibu na fedheha.