-
Naeem Qassem: Muqawama ni nembo ya nguvu ya Lebanon, unapaswa kulindwa
Nov 01, 2025 03:53Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani inadai kwamba inataka kutatua matatizo ya Lebanon lakini nchi hiyo sio mpatanishi mwadilifu asiyependelea upande wowote na ni mshirika katika uhalifu na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Idara ya Habari Palestina: Kuna mabomu 20,000 ambayo hayajalipuka huko Gaza
Nov 01, 2025 03:06Idara ya Vyombo vya Habari ya Serikali ya Palestina imetangaza kwamba mabomu 20,000 ambayo hayajalipuka bado yamebaki katika eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Mwanamfalme wa Uingereza avuliwa vyeo vyote vya kifalme
Nov 01, 2025 00:44Kasri ya Mfalme wa Uingereza, Buckingham Palace, ilitangaza jana Ijumaa kwamba Andrew, kaka wa mfalme wa Uingereza, atajulikana kama Andrew Mountbatten Windsor na si Mwanamfalme, na hatakuwa tena na haki ya kutumia vyeo vyake vyovyote vya kifalme.
-
Kutawishwa ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Moscow na Beijing
Nov 01, 2025 00:40Ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Moscow na Beijing unaendelea licha ya vikwazo vilivyowekwa na Umoja wa Ulaya.
-
Takht-Ravanchi: Oman ni jirani wa kuaminika wa Iran na mshirika muhimu
Nov 01, 2025 00:33Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ambaye pia ni Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameitaja ziara yake ya hivi karibuni nchini Oman kuwa yenye manufaa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran alaani kuanza tena majaribio ya silaha za nyuklia Marekani, asema ni tishio la kimataifa
Oct 31, 2025 23:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelitaja tangazo la Marekani la kuanza tena majaribio ya silaha za nyuklia kuwa ni kitendo kisicho cha kuwajibika na tishio kubwa kwa amani na usalama wa kimataifa.
-
Tanzania yakanusha madai ya kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji
Oct 31, 2025 23:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mahmoud Thabit Kombo, amekanusha madai ya matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji wanaopinga zoezi la Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29.
-
Erdogan amkosoa vikali Kansela wa Ujerumani: Huoni mauaji ya halaiki ya Israel huko Gaza?
Oct 31, 2025 23:04Rais wa Uturuki amekosoa vikali msimamo wa Ujerumani wa kuuunga mkono utawala wa Israel, akimwambia kansela wa nchi hiyo: "Je, huoni mauaji ya halaiki na njaa ya kutengeneza kwa makusudi inayowakabili watu wa Gaza?"
-
UN yakosoa mashambulizi ya Marekani dhidi ya meli zinazoshukiwa kubeba dawa za kulevya
Oct 31, 2025 23:03Umoja wa Mataifa jana Ijumaa ulitoa wito kwa Washington kusimamisha mashambulizi yake dhidi ya meli na boti katika Bahari ya Karibi na mashariki mwa Pasifiki zinazotuhumiwa na Washington kuwa zinafanya biashara haramu ya dawa za kulevya, na kukomesha mauaji yanayofanywa kinyume cha sheria.
-
Mwanamfalme wa Uingereza avuliwa vyeo vyote vya kifalme na kufukuzwa nyumbani kwake
Oct 31, 2025 23:03Katika matokeo ya hivi karibuni ya kashfa ya Jeffrey Epstein, Kasri ya Mfalme wa Uingereza, Buckingham Palace, ilitangaza jana Ijumaa kwamba Andrew, kaka wa mfalme wa Uingereza, atajulikana kama Andrew Mountbatten Windsor na si Mwanamfalme, na hatakuwa tena na haki ya kutumia vyeo vyake vyovyote vya kifalme.