-
Kwa nini Iran inataka kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya Cuba bila masharti yoyote?
Oct 31, 2025 09:15Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo vyote dhidi ya Cuba bila masharti yoyote.
-
Hali bado si shwari Tanzania, matokeo yakiendelea kutangazwa
Oct 31, 2025 08:42Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania inaendelea kutangaza matokeo ya awali ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika 29 Oktoba, 2025.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Marekani na Israel zinachukiwa zaidi duniani
Oct 31, 2025 08:07Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ndizo tawala zinazochukiwa zaidi duniani.
-
Majibu ya Ansarullah kwa Israel Katz: "Hatutamruhusu mtenda jinai atutishie"
Oct 31, 2025 07:36Mohammad al-Farah, mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amejibu matamshi ya Waziri wa Vita wa Israel kwamba utawala huo ghasibu bado haujafikia malengo yake yoyote hadi sasa.
-
Mazungumzo ya Taliban na Pakistan yamalizika Istanbul huku baadhi ya mambo yakisalia bila utatuzi
Oct 31, 2025 07:15Mazungumzo ya siku kadhaa kati ya wajumbe wa Taliban na Pakistan mjini Istanbul yamemalizika kwa upatanishi wa serikali ya Qatar na Uturuki.
-
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu 'ukatili wa kutisha' nchini Sudan
Oct 31, 2025 06:55Maafisa wa Umoja wa Mataifa wameonya kuhusiana na 'ukatili wa kutisha' unaofanyika nchini Sudan.
-
Marekani yahamaki vibaya kwa kushindwa kuipokonya silaha Hizbullah
Oct 31, 2025 03:22Viongozi wa Marekani wameshindwa kuficha hamaki zao kutokana na kufeli njama zao zote za kuipokonya silaha harakati ya Muqawama na mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon. Wameonesha hamakii zao katika mahojiano na televisheni moja ya lugha ya Kiarabu baada ya kuona serikali ya Lebanon imeshindwa kuipokonya silaha Hizbullah licha ya njama zao za usiku na mchana.
-
Iran na Oman zasisitiza kuimarisha zaidi uhusiano wao wa kidugu
Oct 31, 2025 03:21Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ambaye pia ni Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Badr Al-Busaid.
-
Hasira za Hamas kwa uongo wa Marekani na Israel kuhusu mauaji ya wanawake na watoto wa Ghaza
Oct 31, 2025 03:21Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas, amelalamikia vikali visingizio vya uongo vinavyotumiwa na utawala vamizi wa Kizayuni vya kujaribu kuhalalisha jinai zake dhidi ya raia wa Palestina na kusema kuwa huo ni ushahidi wa ubaguzi wa rangi na chuki za kupindukia walizo nazo Wazayuni dhidi ya wanawake na watoto wa Palestina waliouliwa kikatili na kwa umati na wanajeshi makatili wa Kizayuni.
-
Maporomoko ya matope yaua watu 9 mashariki mwa Uganda
Oct 31, 2025 03:20Kwa uchache watu tisa, wakiwemo watoto watatu wa familia moja, wamepoteza maisha katika maporomoko ya matope yaliyosababishwa na mvua kubwa mashariki mwa Uganda.