-
UN: Wasyria 400,000 wamekimbia makazi yao katika muda huu mfupi wa uongozi wa Jolani
Oct 31, 2025 03:20Umoja wa Mataifa umeitangaza kwamba zaidi ya Wasyria 400,000 wamelazimika kukimbia makazi yao kutokana na ukandamizaji wa kidini na ulipizaji kisasi tangu Jolani alipoingia madarakani nchini Syria.
-
Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 Tanzania yaendelea kutangazwa, Mwinyi atangazwa mshindi Zanzibar
Oct 30, 2025 23:46Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania INEC ilianza kutangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 jana Alkhamisi, huku Tume ya Uchahguzi Zanzibar ZEC ikimtangaza Rais Hussein Ali Hassan Mwinyi kuwa mshindi wa urais wa Zanzibar matokeo ambayo yamesusiwa na chama kikuu cha upinzani Zanzibar cha ACT Wazalendo.
-
Ripoti: Mauzo ya bidhaa za Iran nchini Oman yameongezeka
Oct 30, 2025 23:46Katika miezi mitano ya kwanza ya mwaka huu wa Kiirani, mauzo ya Iran kwenda Oman yameongezeka kwa asilimia 16.
-
Doha: Tupo katika mawasiliano na pande zote mbili ili kudumisha usitishaji vita Gaza
Oct 30, 2025 23:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema kuwa, nchi yake inawasiliana na pande zote mbili, Palestina na Israel, ili kudumisha usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Sheikh Mkuu wa al-Azhar ya Misri aitaka Italia iitambue Palestina
Oct 30, 2025 23:44Sheikh Mkuu wa Chuo Kikuu cha al-Azhar cha Misri ameitaka Italia ilitambue rasmi taifa la Palestina.
-
Mkuu wa WHO alaani kuuliwa wagonjwa na raia katika mji wa El Fasher nchini Sudan
Oct 30, 2025 23:44Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO amelaani taarifa iliyoripotiwa kuhusu kuuliwa wagonjwa na raia kufuatia kushtadi machafuko katika mji wa El Fasher nchini Sudan. Tedros Adhanom Ghebreyesus ametaka kuhitimishwa uhasama.
-
Madai yasiyo na msingi ya Trump ya eti ushindi wa Marekani katika vita vyote; ni kujisahaulisha matukio ya Afghanistan na Iraq?
Oct 30, 2025 23:43Rais wa Marekani, Donald Trump, amedai kwamba nchi hiyo itashinda kama itaingia vitani na nchi yoyote.
-
Zaidi ya watoto 22,000 wameuawa katika mashambulizi ya Israel Gaza
Oct 30, 2025 10:27Mkurugenzi wa idara ya magonjwa ya watoto na uzazi katika Kituo cha Tiba cha Nasser huko Gaza amesema leo Alkhamisi kuwa, zaidi ya watoto 22,000 wa Kipalestina wameuawa shahidi katika Ukanda huo tangu kuanza kwa mashambulizi ya utawala wa Israel (Oktoba 2023).
-
Iran na Niger zasisitiza kupanua ushirikiano wa utalii
Oct 30, 2025 10:21Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Niger leo Alkhamisi amebadilishana mawazo na Waziri wa Utalii na Kazi za Mikono wa nchi hiyo kuhusu ushirikiano wa pamoja katika uga wa utalii.
-
Wananchi wa Tanzania wanaendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi
Oct 30, 2025 09:31Wananchi wa Tanzania wanaendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi uliofanyika jana Jumatano na kutawaliwa na maandamano ya hapa na pale huku hali ya mambo ikianza kurejea katika hali ya kawaida.