-
Upinzani DRC wakasirika baada ya Mahakama kumfungulia njia rais Tshisekedi kugombea muhula wa tatu
Jul 30, 2026 10:19Wanasiasa wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, ambao ni wanachama wa muungano wa upinzani uliopewa jina la utani "C64", wamepinga vikali uamuzi wa Mahakama ya Katiba kuhusu sheria ya kura ya maoni, ambayo inaweza kumfungulia njia Rais wa nchi hiyo Felix Tshisekedi kugombea urais kwa muhula wa tatu baada ya kura hiyo ya maoni.
-
Karibu nusu ya Wamarekani wanataka Netanyahu akamatwe licha ya propaganda za mamilioni ya dola
Jul 30, 2026 10:18Karibu nusu ya Wamarekani wanataka waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akamatwe licha ya propaganda zinazofanywa na utawala huo wa kizayuni ambazo zimeugharimu mamilioni ya dola.
-
WHO yaonya kuwa Uganda ingali iko katika hatari ya mripuko wa ebola
Jul 30, 2026 10:15Shirika la Afya Duniani, WHO leo limetoa indhari kwa Uganda kwamba ingali iko katika hatari kutokana na mripuko wa ugonjwa wa Ebola ulioenea katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kwa nini Marekani ilisimamisha vita dhidi ya Iran baada ya wiki mbili?
Jul 30, 2026 07:55Kufuatia wiki mbili za uhasama na baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kuzungumzia uwezekano wa kupanua mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran, mapigano kati ya pande hizi yalisimama ghafla.
-
Kwa nini Netanyahu atasajiliwa katika historia kama waziri mkuu mbaya zaidi wa utawala wa Kizayuni?
Jul 30, 2026 06:54Gazeti la Haaretz limeandika: Netanyahu atasajiliwa katika historia kama waziri mkuu mbaya zaidi wa utawala wa Kizayuni. Gazeti hilo limechapisha ripoti inayokosoa vikali utendaji wa Benjamin Netanyahu, likisisitiza kuwa atakumbukwa kama Waziri Mkuu mbaya zaidi wa utawala wa Kizayuni na kwamba madhara ya kiusalama na kiuchumi ya vita alivyovisababisha yataukabili utawala wa Israel kwa miaka mingi ijayo.
-
Namna Nguvu Dhaniwa ya Ulaya Ilivyosambaratika?
Jul 30, 2026 04:34Esmaeil Baghaei, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, huku akijibu karibuni hivi hatua ya Umoja wa Ulaya ya kuiwekea Iran vikwazo vipya kwa kisingizio cha kutetea haki za binadamu, amesema: "Madai ya Umoja wa Ulaya kuhusu kutetea haki za binadamu za wananchi wa Iran ni unafiki mtupu."
-
Iran yalaani mashambulizi ya “kihalifu” ya Marekani na Saudia dhidi ya Iraq
Jul 30, 2026 04:13Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa kauli kali ya kulaani mashambulizi ya pamoja ya angani yaliyofanywa na Marekani na Saudi Arabia dhidi ya Iraq.
-
Iraq yafuta safari ya Waziri Mkuu wake Riyadh baada ya mashambulizi ya Marekani na Saudia nchini Iraq
Jul 30, 2026 04:11Serikali ya Iraq imefuta ziara iliyopangwa kufanywa na Waziri Mkuu wake nchini Saudi Arabia, kufuatia kile kilichotajwa kuwa mashambulizi ya Marekani na Saudi Arabia, huku kukiwa na ongezeko la wito ndani ya nchi wa kuchukua hatua ya kujibu.
-
UNHCR yaonya juu ya ukandamizaji wa haki za wakimbizi
Jul 30, 2026 04:04Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limesema haki za waomba hifadhi ulimwenguni zinakabiliwa na shinikizo kubwa la kisiasa. Hayo yameelezwa wakati shirika hilo likiadhimisha miaka 75 ya kupitishwa kwa Mkataba wa Wakimbiuzi.
-
Zakharova: Shambulio la Ukraine dhidi ya meli ya Iran lilikuwa kitendo cha wazi cha ugaidi
Jul 30, 2026 04:03Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameikosoa vikali serikali ya Kyiv, akisisitiza kuwa shambulio la Ukraine dhidi ya meli ya Iran lilikuwa mfano halisi wa kitendo cha kigaidi.