-
Qur'ani inasema nini kuhusu watu wenye kiburi kama Donald Trump
Oct 21, 2025 06:51Uchambuzi wa Qur'ani kuhusu tabia ya Donald Trump, rais mtata wa Marekani, unamuonyesha kuwa ni mfano wa wazi wa mtu muovu na mwenye kutakabari.
-
Hizbullah: Trump anajiona mtu wa amani ilhali ni gaidi namba moja duniani
Oct 21, 2025 03:32Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Siasa la Hizbullah amesisitiza kuwa, Rais wa Marekani anajiona ni “mtu wa amani” duniani ilhali kiuhalisia yeye ni “mchekeshaji, muigizaji, mdanganyifu na mzandiki, na ndiye gaidi namba moja duniani” aliyemuua shahidi aliyekuwa Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sayyed Hassan Nasrullah (Radhi za Allah ziwe juu yake), kwa mabomu ya Marekani.
-
Iraq: Hatutaruhusu ardhi na anga yetu zitumike kutishia usalama wa Iran, majirani wengine
Oct 21, 2025 03:31Iraq iimesisitiza kuwa haitaruhusu ardhi na anga yake zitumike kutishia usalama wa Iran au wa nchi nyingine yoyote jirani.
-
Kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi Madagascar amteua mfanyabiashara kuwa waziri mkuu mpya
Oct 21, 2025 03:31Rais wa mpito wa Madagascar Kanali Michael Randrianirina amemteua mfanyabiashara Herintsalama Rajaonarivelo kuwa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo na kumuapisha katika hafla rasmi iliyofanyika kwenye Ikulu ya Jimbo la Iavoloha.
-
Amir wa Qatar: Vita vya Israel dhidi ya Ghaza si kingine chochote ila ni mauaji ya kimbari
Oct 21, 2025 03:30Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani amesema, vita vya utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Ghaza si kitu kingine ila ni mauaji ya kimbari sambamba na kuulaani utawala huo ghasibu kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano.
-
Netanyahu ajigamba kuwa siku ya Jumapili Israel iliidondoshea Ghaza tani 153 za mabomu
Oct 21, 2025 03:30Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amejigamba kuwa jeshi lake lilishambulia Ukanda wa Ghaza siku ya Jumapili kwa tani 153 za mabomu, ambayo ni sawa na kukiri kwamba utawala huo ghasibu umekiuka makubaliano ya kusitisha mapigano uliyofikia na harakati ya Hamas kupitia mpango uliopendekezwa na Rais wa Marekani.
-
Kamanda wa Iran: Miundomsingi ya makombora haikupata 'hata mkwaruzo' wakati wa Vita vya Siku 12
Oct 20, 2025 23:53Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, miundomsingi ya makombora na ulinzi imebaki imara kama ilivyokuwa kabla ya Vita vya Siku 12 na kubainisha kwa kusema: "mkwaruzo wenye ukubwa hata wa ubawa wa nzi" haukufanywa kwenye makombora ya Iran.
-
HAMAS yaimarisha nguvu na udhibiti wake Ghaza
Oct 20, 2025 23:52Vyombo vya usalama vya Israel vimetangaza kuwa Hamas imekuwa ikiimarisha udhibiti wake katika Ukanda wa Ghaza tangu dakika za mwanzo za kusitishwa mapigano na inaendelea kurejesha utulivu na usalama katika maeneo mbalimbali ya ukanda huo, licha ya uharibifu na jinai kubwa za miaka miwili zilizofanywa na utawala wa Kizayuni kwenye eneo hilo.
-
Mufti wa Oman aunga mkono utayarifu wa Wayemen kukabiliana na Israel
Oct 20, 2025 23:30Mufti wa Oman ametangaza himaya na uungaji mkono wake kikamilifu utayarifu wa Wayemen kukabiliana na utawala haramu wa Israel.
-
Ripoti: Mashambulizi ya wanamgambo yameshadidi eneo la Sahel Afrika
Oct 20, 2025 23:28Mashambulizi ya wanamgambo wenye silaha yanaripotiwa kushadidi katika eneo la Sahel Afrika.