-
Wanaharakati Kenya waituhumu serikali kwa kupuuza amri ya mahakama
Jul 21, 2026 03:31Wanaharakati nchini Kenya wamezituhumu mamlaka za nchi hiyo kwa kukiuka amri ya mahakama iliyozuia kuanzishwa kituo cha karantini kwa wagonjwa wa Ebola
-
Israel yafanya uharibifu mkubwa kusini mwa Lebanon huku ndege zisizo na rubani zikiruka katika anga ya Beirut
Jul 21, 2026 03:09Jeshi la Israel jana lilifanya operesheni kubwa ya ubomoaji kusini mwa Lebanon siku ya Jumatatu huku ndege zisizo na rubani za utawala huo ghasibu zikiruka katika anga ya mji mkuu wa chi hiyo Beirut na vitongoji vyake.
-
Ansarullah: Mzingiro wa baharini dhidi ya Saudia ni matokeo ya kukataa Riyadh kutoa jibu kwa matakwa halali ya Yemen
Jul 21, 2026 02:58Mohammed Abdulsalam, Mkuu wa timu ya mazungumzo ya Yemen, amesisitiza kuwa tangazo la vikosi vya ulinzi vya Yemen kuhusu marufuku ya usafiri wa baharini dhidi ya Saudi Arabia ilikuwa hatua ambayo Sana'a ililazimika kuichukua kujibu hatua ya Riyadh kukataa kujibu kwa njia ya amani matakwa halali ya Yemen.
-
Makumi ya watu wanahofiwa kupoteza maisha baada ya boti kupinduka na kuzama Nigeria
Jul 21, 2026 02:57Wafanyakazi wa huduma za uokoaji kaskazini-magharibi mwa Nigeria jana waliendelea kuwatafuta manusura baada ya boti iliyokuwa imebeba watu kadhaa kupinduka na kuzama katika jimbo la Jigawa.
-
Baqaei: Marekani imeonyesha tena sera yake ya uharibifu kwa kushambulia miundombinu ya Iran
Jul 20, 2026 11:20Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baqaei amesema kuwa Marekani imeonyesha kwa mara nyingine tena sera yake ya uharibifu baada ya kufanya mashambulizi dhidi ya miundombinu ya Iran.
-
Idadi ya waliofariki dunia kwa Ebola DRC yapindukia 900
Jul 20, 2026 11:08Takribani watu 930 wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Hiyo ni kwa mujibu wa Wizara ya Afya nchini humo.
-
Ndege za Marekani za kuongeza mafuta angani zahamishiwa Israel kwa hofu ya mashambulizi ya Iran
Jul 20, 2026 10:59Ndege za Marekani za kuongeza mafuta angani (refuelling aircraft) zimehamishiwa katika eneo la Palestina inayokaliwa, kutokana na hofu ya mashambulizi yanayoweza kufanywa na Iran.
-
Walowezi wa Kizayuni wachoma moto nyumba mbili na msikiti wa Wapalestina
Jul 20, 2026 10:33Walowezi wa Kizayuni wamechoma moto nyumba mbili pamoja na msikiti mmoja wa Wapalestina, katika tukio lililotajwa kuwa sehemu ya mashambulizi dhidi ya mali za Wapalestina.
-
The Guardian: Trump ndiye adui nambari moja wa jamii ya kimataifa
Jul 20, 2026 10:15Gazeti la Uingereza The Guardian limemuelezea Rais wa Marekani Donald Trump kuwa ndiye “adui wa nambari moja wa jamii ya kimataifa”, likikosoa sera na hatua zake katika masuala ya kimataifa.
-
Kusimamishwa Ahadi za Mkataba wa Islamabad: Majibu ya Iran dhidi ya Ukiukaji wa Marekani
Jul 20, 2026 08:05Iran imesimamisha utekelezaji wa ahadi zake chini ya Mkataba wa Islamabad. Akifafanua suala hilo, Kazem Gharibabadi, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, amesema kuwa baada ya Marekani kukiuka wajibu wake chini ya Mkataba wa Maelewano wa Islamabad, Tehran imesimamisha utekelezaji wa ahadi zake zote na kwamba sasa imejikita katika mipango ya kulinda nchi kwa uthabiti mkabala wa hujuma za adui.