-
Picha za satelaiti zaonyesha uharibifu mkubwa katika kambi za Marekani zilizolengwa na Iran
Jul 14, 2026 04:45Vyanzo vya kijeshi vya tovuti ya Open Source Intelligence (OSINT) vimetoa picha zinazoonyesha kiwango kikubwa cha uharibifu uliosababishwa na mashambulizi ya hivi karibuni ya kulipiza kisasi ya Iran dhidi ya shabaha nyeti na za kimkakati za Marekani katika eneo la Asia Magharibi.
-
Yemen yaionya Saudia: Shambulio dhidi ya uwanja wa ndege wa Sana’a ni mwisho wa usitishaji vita
Jul 14, 2026 04:42Wizara ya Mambo ya Nje ya Yemen mjini Sana’a imelaani vikali shambulio la Saudi Arabia dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sana’a, ikisisitiza kuwa hatua hiyo ya kijeshi inahitimisha rasmi kipindi cha usitishaji vita na kuashiria kuanza kwa awamu mpya ya vita.
-
DRC yaripoti mlipuko wa Ebola katika mikoa mitano; idadi ya maambukizi yavuka 1,900
Jul 14, 2026 04:39Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeripoti kuenea kwa ugonjwa wa Ebola katika mikoa mitano, huku idadi ya kitaifa ya maambukizi ikipanda na kufikia visa 1,926 vilivyothibitishwa, ikiwa ni pamoja na vifo 702. Haya ni kwa mujibu wa ripoti rasmi iliyotolewa Jumapili na mamlaka za afya nchini humo.
-
El Niño na tishio la mafuriko Afrika Mashariki na Asia
Jul 14, 2026 03:21Shirika la Masuala ya kibinadamu limetahadharisha kuwa hali ya hewa ya El Niño inayozidi kuongezeka kwa kasi inatishia kuleta mafuriko makubwa, magonjwa na ukame katika baadhi ya jamii zilizo hatarini zaidi duniani katika eneo la Afrika Mashariki na Asia.
-
Lango-Bahari la Hormuz na Ndoto za White House
Jul 13, 2026 11:20Kufuatia mashambulizi ya mara kwa mara ya Marekani katika maji na maeneo ya kusini mwa Iran, Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimetoa taarifa kikitangaza kujibu vikali vitendo vya uchokozi vya jeshi la Marekani.
-
IRGC yashambulia kambi za kijeshi za Marekani huko Bahrain, Jordan, Kuwait na Oman
Jul 13, 2026 10:13Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) limeshambulia na kuharibu kambi na maeneo kadhaa muhimu ya kijeshi ya Marekani katika nchi za Jordan, Bahrain, Kuwait na Oman katika operesheni ya kulipiza kisasi ya awamu tano dhidi ya uchokozi wa Marekani, ikiwa ni pamoja na mashambulizi ya nchi hiyo katika maeneo ya pwani ya Iran.
-
Iran: Lango-Bahari la Hormuz limefungwa kwa safari zote kufuatia hatua 'haramu' za kijeshi za Marekani
Jul 13, 2026 10:11Iran: Lango-Bahari la Hormuz limefungwa kwa safari zote kufuatia hatua 'haramu' za kijeshi za Marekani
-
Viongozi wa kijeshi wa Libya kutoka Mashariki na Magharibi wakutana kujadili kuliunganisha jeshi
Jul 13, 2026 10:08Saddam Haftar Naibu Kamanda Jeshi la Mashariki mwa Libya amesema kuwa viongozi wakuu wa kijeshi kutoka mashariki na magharibi mwa Libya wamekutana katika mji wa Sirte katikati mwa nchi hiyo kujadili kuunganisha vikosi vya jeshi vilivyogawanyika nchini humo.
-
Shirika la haki za binadamu: RSF inawashikilia raia 6,000 katika magereza ya El Fasher
Jul 13, 2026 08:15Ripoti iliyoandaliwa na Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu nchini Sudan imeonyesha kuwa watu 6,000 wanashikiliwa na wapiganaji wa kundi la waasi la Rapid Support Forces (RSF) katika magereza huko El Fasher, mji mkuu wa Jimbo la Darfur Kaskazini, magharibi mwa nchi, na pia imerekodi ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na kundi hilo dhidi ya raia.
-
Iran yaalaani uchokozi wa kihalifu wa Marekani, yaapa kushambulia chanzo cha mashambulizi
Jul 13, 2026 03:10Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali jinai na mashambulizi yaliyofanywa na Marekani dhidi ya Iran katika saa 24 zilizopita.