-
Lango-Bahari la Hormuz na Ndoto za White House
Jul 13, 2026 11:20Kufuatia mashambulizi ya mara kwa mara ya Marekani katika maji na maeneo ya kusini mwa Iran, Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimetoa taarifa kikitangaza kujibu vikali vitendo vya uchokozi vya jeshi la Marekani.
-
IRGC yashambulia kambi za kijeshi za Marekani huko Bahrain, Jordan, Kuwait na Oman
Jul 13, 2026 10:13Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) limeshambulia na kuharibu kambi na maeneo kadhaa muhimu ya kijeshi ya Marekani katika nchi za Jordan, Bahrain, Kuwait na Oman katika operesheni ya kulipiza kisasi ya awamu tano dhidi ya uchokozi wa Marekani, ikiwa ni pamoja na mashambulizi ya nchi hiyo katika maeneo ya pwani ya Iran.
-
Iran: Lango-Bahari la Hormuz limefungwa kwa safari zote kufuatia hatua 'haramu' za kijeshi za Marekani
Jul 13, 2026 10:11Iran: Lango-Bahari la Hormuz limefungwa kwa safari zote kufuatia hatua 'haramu' za kijeshi za Marekani
-
Viongozi wa kijeshi wa Libya kutoka Mashariki na Magharibi wakutana kujadili kuliunganisha jeshi
Jul 13, 2026 10:08Saddam Haftar Naibu Kamanda Jeshi la Mashariki mwa Libya amesema kuwa viongozi wakuu wa kijeshi kutoka mashariki na magharibi mwa Libya wamekutana katika mji wa Sirte katikati mwa nchi hiyo kujadili kuunganisha vikosi vya jeshi vilivyogawanyika nchini humo.
-
Shirika la haki za binadamu: RSF inawashikilia raia 6,000 katika magereza ya El Fasher
Jul 13, 2026 08:15Ripoti iliyoandaliwa na Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu nchini Sudan imeonyesha kuwa watu 6,000 wanashikiliwa na wapiganaji wa kundi la waasi la Rapid Support Forces (RSF) katika magereza huko El Fasher, mji mkuu wa Jimbo la Darfur Kaskazini, magharibi mwa nchi, na pia imerekodi ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na kundi hilo dhidi ya raia.
-
Iran yaalaani uchokozi wa kihalifu wa Marekani, yaapa kushambulia chanzo cha mashambulizi
Jul 13, 2026 03:10Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali jinai na mashambulizi yaliyofanywa na Marekani dhidi ya Iran katika saa 24 zilizopita.
-
Madaktari na wauguzi wa London wataka kuachiliwa huru daktari wa watoto wa Kipalestina
Jul 13, 2026 03:08Madaktari, wauguzi na wanaharakati wamekusanyika nje ya Chuo cha Kifalme cha Watoto na Afya ya Watoto (RCPCH) jijini London, wakitaka hatua zichukuliwe dhidi ya kukamatwa kinyume cha sheria daktari wa watoto wa Kipalestina Dkt. Hussam Abu Safiya anayeshilikiwa na utawala ghasibu wa Israel.
-
Mwalimu Fatima Kurtic afukuzwa kazi Luxenbourg kwa kuiunga mkono Palestina
Jul 13, 2026 03:06Mamlaka za Luxembourg zimemfukuza kazi mwalimu wa shule ya msingia mbaye pia ni manusura wa mauaji ya halaiki ya Bosnia-Herzegovina baada ya kukosoa hadharani mauaji ya watoto katika Ukanda wa Ghaza kupitia machapisho yake kwenye mitandao ya kijamii.
-
Raia wa Zimbabwe warejea nyumbani kutoka Afrika Kusini huku ghasia dhidi ya wahamiaji zikiendelea
Jul 13, 2026 03:03Raia wa Zimbabwe wanaokimbia vurugu na vitisho vya chuki dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini wamewasili katika kituo cha mapokezi katika mji wa mpakani wa Beitbridge, Zimbabwe.
-
Jeshi: Iran imedhamiria kuanzisha mpango wake yenyewe katika Lango-Bahari la Hormuz
Jul 13, 2026 03:00Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limesema kuwa vikosi vyote vya ulinzi viko tayari kulinda haki za taifa na kuweka mfumo unaokusudiwa na Iran katika Lango -Bahari la Hormuz.