-
'Timiza majukumu yako la sivyo utalipa gharama': Spika Qalibaf aionya Marekani
Jul 12, 2026 12:29Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf ameionya Marekani kwamba inalazimika kutimiza majukumu yake la sivyo italazimika kulipa gharama ya kukiuka ahadi na majukumu yake chini ya makubaliano ya kukomesha vita.
-
Mfungwa wa Kipalestina aelezea unyanyasaji wa wanawake katika magereza ya Israel
Jul 12, 2026 12:26Mfungwa mwanamke Mpalestina amesimulia uvamizi wa mara kwa mara, unyanyasaji wa kimwili na hali mbaya ya kizuizini inayowaathiri wanawake Wapalestina waliofungwa katika magereza ya Israel.
-
Serikali ya Sudan na UNICEF zaonya kuhusu kuzorota hali ya kiafya katika maeneo yenye migogoro
Jul 12, 2026 10:46Serikali ya Sudan na Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) zimeonya kuhusu mgogoro mbaya wa utapiamlo miongoni mwa watoto nchini Sudan, huku vita na mapigano ya ndani yakiendelea kwa mwaka wa nne sasa.
-
Mazishi makubwa zaidi ya kukumbukwa katika historia
Jul 12, 2026 10:25Mazishi makubwa na ya kuvutia ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, halikuwa tukio tu la maombolezo; bali lilibadilika haraka na kuwa moja ya matukio muhimu zaidi yaliyozingatiwa na vyombo vya habari na wanasiasa duniani, kieneo na kimataifa.
-
Seneta Graham, msaidizi mkuu wa Trump na mchochezi mkuu wa vita dhidi ya Iran ameangamia ghafla
Jul 12, 2026 10:17Seneta Lindsey Graham, anayetambuliwa kuwa mhandisi wa mipango ya Washington dhidi ya Iran na mhamasishaji mkuu wa Trump kufanya mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, hatimaye ameangamia na ndoto yake ya kunyakua "matrilioni ya dola katika pesa na mafuta ya Iran."
-
Iran, Oman zakubaliana kuendeleza mazungumzo ya kisiasa na kiufundi kuhusu usalama wa meli, Lango Bahari la Hormuz
Jul 12, 2026 09:36Iran na Oman zimekubaliana kuendeleza mazungumzo ya kisiasa na kiufundi kuhusu usalama wa baharini na mipango ya baadaye ya safari za meli katika Lango-Bahari la Hormuz.
-
Iran yashambulia kambi za kijeshi za Marekani nchini Jordan, Kuwait, Oman, Qatar na Bahrain, yafunga Lango Bahari la Hormuz
Jul 12, 2026 04:20Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo asubuhi vimetekeleza operesheni ya pamoja ya makombora na ndege zisizo na rubani dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani nchini Jordan, Kuwait, Qatar, Oman na Bahrain, ikiwa ni hatua ya kujibu mashambulizi endelevu ya Marekani dhidi ya maeneo ya kusini mwa Iran.
-
Mkuu wa Idara ya Mahakama Iran: Tutawaandama wahalifu wa vita wa Marekani na Israel
Jul 12, 2026 04:18Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, Hujjatul Islam Gholam Hossein Mohseni Ejei, amesema kuwa chombo hicho kitaendeleza hatua za kisheria za kufuatilia uhalifu uliofanywa na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Iran, akisisitiza kwamba wahusika wa uhalifu wa kivita lazima waadhibiwe na walazimishwe kulipa fidia.
-
Kiongozi wa Kataib Hizbullah ya Iraq aapa kuendeleza njia ya mapambano, apinga vitisho vya adui
Jul 12, 2026 04:17Katibu Mkuu wa Kataib Hizbullah nchini Iraq amesema kundi lake litaendeleza njia ya Muqawama na mapambano, akipuuza vitisho vya maadui na kuwataka maafisa wa serikali ya nchi hiyo na viongozi wa kisiasa kuheshimu matakwa ya taifa hilo la Kiarabu.
-
Mwanamuziki wa Somaliland afungwa jela bila kesi kwa kutunga wimbo wa al-Quds
Jul 12, 2026 04:13Askari usalama katika eneo lililojitenga na Somalia la Somaliland wamemkamata mwanamuziki kijana, Khalid Mohamud Abdillahi, anayejulikana sana kama Khalid Kamil, baada ya kutunga wimbo kuhusu al-Quds iliyokaliwa kwa mabavu. Hayo yameripotiwa na Hiiraan Online, ikinukuu familia yake.