-
Shirika la Anga za Juu la Iran kuzindua satalaiti ya Pars-2
Jun 18, 2026 05:58Shirika la Masuala ya Anga za Juu la Iran linasonga mbele kwa kasi mpya, huku Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano akitangaza mipango ya uzinduzi ujao wa satalaiti ya "Pars 2" na kupelekwa angani Shahid Soleimani Satellite Constellation ifikapo mwisho wa mwaka huu.
-
Hamas: Kamwe hatutakabidhi silaha zetu kwa Israel na Marekani
Jun 18, 2026 05:57Naibu mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) nje ya nchi ametangaza kwamba harakati hiyo kamwe haitakabidhi silaha zake kwa Israel na Marekani.
-
Marais wa Iran na Marekani watia saini kidijitali Makubaliano ya kumaliza vita
Jun 18, 2026 04:27Hati ya makubaliano (MoU) kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani sasa imetiwa saini rasmi na marais wa nchi hizo mbili baada ya maandishi yake kukamilishwa, na hivyo makubaliano hayo kuanza kutekelezwa. Hayo yametangazwa na msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Jumatano usiku.
-
"Bila Israel, kusingekuwa na Marekani"; Balozi wa Washington huko Tel Aviv aibua hasira za Wamarekani
Jun 18, 2026 04:25Matamshi ya balozi wa Marekani huko Israel, Mike Huckabee, yamezua wimbi la hasira na ukosoaji mkubwa katika duru za kisiasa na vyombo vya habari vya Marekani, baada ya kusema kwamba Marekani "haingekuwepo bila Israel," katika taarifa iliyozusha mjadala mkubwa kuhusu ushawishi wa Israel ndani ya duru za kufanya maamuzi za Marekani na mipaka ya majukumu ya balozi wa Marekani huko Tel Aviv.
-
Kwa nini umoja wa nyanja ni muhimu kwa Iran na kusambaratika kwake ni muhimu kwa Israel?
Jun 17, 2026 12:18Wakati Iran na Marekani zilipokuwa zinakaribia kufikia mapatano ya awali kuhusu kusimamisha vita, utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena siku ya Jumapili (Juni 14, 2026) ulishambulia viunga vya mji wa Beirut, na hivyo kuendelea kukiuka usitishavi vita.
-
Jeshi la Iran laionya Israel kuhusu ukiukaji usitishaji vita Lebanon
Jun 17, 2026 12:10Kamandi Kuu ya Majeshi ya Iran, Khatam al-Anbiya imeuonya utawala wa Israel na kuutaka usitishe mara moja ukiukaji wa mara kwa mara wa makubaliiano ya usitishaji vita kusini mwa Lebanon, au ukabiliwe na “jibu kali” la majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran yatengeneza dawa ya kutibu saratani kwa kutumia teknolojia ya nyuklia
Jun 17, 2026 12:08Iran inatarajiwa hivi karibuni kuzindua AlphaZa, dawa ya kwanza ya tiba ya nyuklia ya kutibu saratani iliyotengenezwa nchini inayotumia chembe za alfa (alpha‑emitting radiopharmaceutical), kwa ajili ya kutibu saratani zilizo katika hatua ya juu ambazo hazijaitikia tiba za kawaida.
-
Afisa wa Yemen: Majeshi ya Iran ni mfano wa kuigwa katika ulimwengu wa Kiislamu
Jun 17, 2026 12:06Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen, Mahdi al Mashat, amesifu Majeshi ya Iran, hasa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), akisema utendaji wao wakati wa vita vya Marekani na Israel umeonyesha ustahimilivu, azma thabiti, na nguvu ya kijeshi.
-
Viongozi wa Afrika waunga mkono mpango wa dola milioni 518 kukabiliana na kuenea kwa Ebola
Jun 17, 2026 12:04Viongozi wa Afrika siku ya Jumanne walikutana katika mkutano wa dharura wa ngazi ya juu uliofanyika kwa njia ya mtandao, kwa lengo la kutafuta ufadhili wa dola milioni 518 za kudhibiti mlipuko wa Ebola unaoendelea huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda.
-
Somalia yabainisha wasiwasi kufuatia uhusiano kati ya "Israel" na "Somaliland"
Jun 17, 2026 12:01Serikali ya Somalia imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuheshimu sheria za kimataifa, kutambua mamlaka yake ya kitaifa, na kulaani hatua zozote zinazodhoofisha umoja na uthabiti wa taifa hilo.