-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Marekani haiwezi kukariri upumbavu wa huko nyuma
Jan 30, 2026 09:12Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema: "Vita vya siku 12 viliiweka Iran katika nafasi maalum na ya kipekee ya nguvu, na nina uhakika kwamba Marekani haiwezi kukariri upumbavu wa huko nyuma.
-
Kucheza na moto kwa Trump kunaweza kusababisha mzozo kamili kanda ya Asia Magharibi
Jan 30, 2026 08:30Iran imetangaza kwamba kauli za "kuchochea vita" za Donald Trump zinazidisha mvutano wa kikanda.
-
Rais Pezeshkian: Iran haitaanzisha vita, lakini itatoa jibu kali kwa uvamizi wowote dhidi yake
Jan 30, 2026 08:12Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haikaribishi vita, lakini itatoa jibu kali na la haraka kwa uvamizi wowote dhidi yake.
-
Spika wa Bunge la Iran: Jeshi la SEPAH ndio mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya ugaidi
Jan 30, 2026 07:55Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf amesema kuwa, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) ni mojawapo ya vikosi imarai na vyenye ufanisi zaidi vya kupambana na ugaidi duniani.
-
Ripota wa Umoja wa Mataifa: Kuna ulazima wa kusitishwa uhusiano na utawala wa Israel
Jan 30, 2026 07:52Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu na Israel ametoa wito kwa nchi zote ulimwenguni kusitisha uhusiano wao na utawala wa Israel na kuweka vikwazo vya kimataifa dhidi ya utawala huo.
-
Mjadala mkali waibuka baada ya jeshi la Uganda kuutuhumu ubalozi wa Marekani kumficha Bobi Wine
Jan 30, 2026 07:19Jenerali Muhoozi Kainerugaba, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Uganda (UPDF), , amezua mjadala mkubwa baada ya kuutuhumu ubalozi wa Marekani nchini humo kwa kumficha kiongozi wa upinzani Bobi Wine.
-
'Hakuna vita vya masaa 2', yasema Iran ikiapa kutoa jibu la haraka kwa uchokozi wa US au Israel
Jan 30, 2026 04:17Jeshi la Iran limetoa onyo kali kwamba kitendo chochote kipya cha uchokozi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kitakabiliwa na jibu kali na la haraka, likisisitiza kwamba uzoefu na tajiriba ya vita vya Juni vimebadilisha kimsingi muelekeo wa kijeshi wa Iran na kanuni zake za makabiliano.
-
Afisa mwandamizi wa jeshi la Israel: Iran ni dola moja kuu kwa makombora duniani
Jan 30, 2026 04:17Kamanda wa zamani wa mitambo ya ulinzi wa anga wa utawala wa kizayuni wa Israel ameielezea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni moja ya madola makuu duniani kwa upande wa masuala ya anga na ulimwengu wa makombora, na akasema, Tehran itailenga Tel Aviv iwapo kutakuwa na shambulio lolote litakalofanywa na Marekani dhidi yake.
-
Burkina Faso yavunja vyama vyote vya siasa, yasema vimechochea migawanyiko
Jan 30, 2026 04:16Serikali ya Burkina Faso inayoongozwa na jeshi imetoa amri ya kuvunjwa vyama vyote vya siasa ambavyo kabla ya hapo vilikuwa tayari vimelazimishwa kusimamisha shughuli zao kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini humo miaka minne iliyopita.
-
Serikali ya Trump yalaaniwa kwa ukatili wa kumnyima mzazi Muislamu fursa ya kumzika mwanawe
Jan 30, 2026 04:15Uamuzi wa shirika la Uhamiaji na Forodha la Marekani (ICE) wa kukataa kutoa ruhusa ya muda ya sababu za kibinadamu kwa mzazi aliyeko kizuizini kuhudhuria mazishi ya mwanawe kimelaaniwa vikali na watumiaji wa mitandao ya kijamii huku baadhi yao wakiuelezea uamuzi huo kuwa ni "mchafu na wa kinyama".