-
SAUTI, Dunia yaombwa kusaidia kuzima mauaji ya Banyindu, Bafurero, Wabembe nk Kivu Kusini, Kongo DR
Oct 22, 2019 13:17Jamii ya kimataifa imetakiwa kusaidia kuhitimisha mapigano ya wenyewe kwa wenye yaliyoanza mwanzoni mwa mwaka huu katika maeneo ya nyanda za juu mkoa wa Kivu Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kupelekea kwa akali watu 500 kuuawa.
-
SAUTI, Rais Félix Tshisekedi aanzisha mchakato shirikishi wa kurejesha usalama mashariki mwa Kongo DR
Oct 19, 2019 10:51Rais Félix Antoine Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameanzisha mazungumzo na marais wa Rwanda na Uganda kwa lengo la kuwarejesha nchini waazi wa M23 waliokimbilia nchi hizo hapo mwaka 2013.
-
SAUTI, Serikali ya Uganda yawaasa wakulima kuzingatia kilimo cha kisasa, kuzalisha mazao mengi
Oct 17, 2019 13:30Wakulima nchini Uganda wametakiwa kutumia kilimo cha kisasa na kuachana na kilimo cha mikono ambacho kilishapitwa na wakati.
-
SAUTI, Propaganda za BBC dhidi ya Mashia zaendelea kupondwa, Sheikh Taqee Zakaria aelezea njama zao dhidi ya Uislamu
Oct 11, 2019 13:18Baada ya Shirika la Utangazaji nchini Uingereza BBC kutoa video iliyojaa chuki, ghilba na upotoshaji dhidi ya Waislamu hasa wa Kishia, Waislamu mbalimbali duniani wameendelea kulilaani vikali shirika hilo ambalo lina historia nyeusi katika kueneza chuki na tofauti kati ya jamii mbalimbali wakiwemo Waislamu duniani.
-
SAUTI, Vijana elfu 10 wa nchi za Afrika wakutana mjini Kigali, Rwanda kujadili mustakbali wao ndani ya bara hilo
Oct 11, 2019 12:55Jumla ya Vijana 10,000 kutoka nchi zote za Kiafrika na baadhi ya wawakilishi wa mashirika ya vijana ulimwenguni wanakutana mjini Kigali, Rwanda.
-
Ripoti ya upotoshaji ya BBC kuhusu matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS yakosolewa vikali + Sauti
Oct 10, 2019 12:06Baada ya shirika la utangazaji la utawala wa kifalme wa Uingereza BBC kusambaza mkanda wa video uliojaa chuki na upotoshaji dhidi ya Waislamu hasa wa Kishia na dhidi ya matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS, banda hilo la propaganda la ufalme wa Uingereza limekumbwa na ukosoaji mkali. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam Tanzania
-
Sudan yazikosoa Saudia na Imarati kwa kushindwa kutekeleza ahadi zao za kifedha
Oct 09, 2019 03:56Waziri wa Fedha wa Sudan amezikosoa Saudia na Imarati kwa kushindwa kutekeleza ahadi zao za kifedha kuihusu nchi hiyo.
-
Utabiri wa Sayyid Nasrullah watimia, Marekani yawasaliti Wakurdi wa Syria + Video
Oct 08, 2019 07:30Wanamgambo wa Kikurdi wa kaskazini mwa Syria wameilalamikia vikali Marekani kwa kuwasaliti na kuwatelekeza katika mashambulizi ya jeshi la Uturuki dhidi yao, suala ambalo limethibitisha ukweli wa utabiri wa Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah alioutoa takriban miaka miwili iliyopita.
-
Waislamu Tanzania wajiandaa kufanya Maulidi ya Mtume Muhammad SAW kwa hamasa kubwa zaidi mwaka huu + Sauti
Oct 07, 2019 06:03Viongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) wametoa ufafanuzi kuhusu maandalizi ya Maulidi ya Kitaifa yanavyoendelea jijini Mwanza na wamejipanga kufanya shughuli mbalimbali za kijamii kuelekea maadhimisho hayo ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad SAW. Ammar Dachi na taarifa zaidi kutoka Dar es Salaam...
-
Answarullah: Kama Wasaudia hawataki suluhu, jeshi na mamluki wao watasambaratishwa kabisa + Video
Sep 29, 2019 23:49Mjumbe wa Baraza la Kijeshi la harakati ya Kiislamu ya Answarullah ya Yemen amesema kuwa, iwapo Saudi Arabia itaendelea kufanya ukaidi wa kukataa suluhu na kuendelea na mashambulizi yake nchini Yemen, itambue kuwa jeshi na mamluki wake watasambaratishwa kikamilifu.