-
Taasisi ya al Mustafa Khairiya yaozesha vijana 100 Tanga, Tanzania + Sauti
Feb 26, 2019 03:09Taasisi ya al Mustafa Khairiya ya jijini Tanga Tanzania imefanya hafla ya kuwaozesha vijana 100 wa Kiislamu katika jitihada za kupunguza maovu kwenye jamii. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam...
-
Wanaharakati wataka balozi wa Uganda nchini Burundi ajiuzulu + Sauti
Feb 26, 2019 03:05Wanaharakati wa haki za binadamu wa nchini Uganda wametaka balozi wa nchi hiyo huko Burundi, Matayo Kyaligonza, ajiuzulu. Maelezo zaidi anayo mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail…
-
Mamia waandamana Sweden kulaani polisi kumdhalilisha mwanamke mwenye asili ya Afrika + Video
Feb 24, 2019 03:35Watu wasiopungua 2000 walifanya maandamano mjini Stockholm jana Jumamosi kulalamikia ubaguzi wa polisi wa Sweden dhidi ya watu wa jamii za wachache.
-
Usalama wa chakula nchini Rwanda hatarini+SAUTI
Feb 21, 2019 13:08Wizara ya Kilimo nchini Rwanda imesema ndani ya kipindi cha miaka miwili iliyopita eneo la ardhi kwa ajili ya kilimo lilipungua kutokana na kasi ya ujenzi wa makazi ya raia.
-
Kenya na Somalia zaingia katika mgogoro mkubwa wa kidiplomasia + Sauti
Feb 17, 2019 04:44Kenya imemfukuza balozi wa Somalia mjini Nairobi huku ikimuita balozi wake wa Mogadishu nyumbani, ikiituhumu nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kuwa imepiga mnada maeneo yake yenye gesi na mafuta katika mipaka yao ya pamoja ya baharini.
-
SAUTI, Serikali za Kiafrika zimetakiwa kuacha kutoa maneno matupu bali zifanye vitendo kulinda mazingira
Feb 15, 2019 13:07Serikali za mataifa mbalimbali ya Afrika zimetakiwa kutenga kiasi kikubwa cha fedha kwenye bajeti zao, ili kukomesha tatizo la uharibifu wa mazingira ambalo linaendelea kuongezeka barani humo.
-
SAUTI, Matukio ya Kiislamu, Waislamu Tanzania waendelea kulaani kubomolewa msikiti UDOM na Waislamu Kenya wasisitizia mirathi ya kidini
Feb 15, 2019 13:07Ni matukio ya Kiislamu kuanzia kadhia ya Waislamu watakaoenda kuhiji mwaka huu wa 1440 Hijiria waanza kupewa semina.
-
SAUTI, Fagio la chuma la kudhibiti ufisadi la Rais Uhuru Kenyatta lampitia Waziri Najib Balala
Feb 15, 2019 13:07Tume ya kukabiliana na ufisadi nchini Kenya EACC imemuandikia rasmi barua ya ombi la kutaka kufika mbele yake, Waziri wa Utalii Najib Balala ili kujieleza juu ya sakata ya ubadhirifu wa fedha za umma.
-
SAUTI, Serikali ya Uganda yaendelea kuwatimua wakurugenzi wa Shirika la Mawasiliano ya Simu MTN kwa sababu za usalama
Feb 15, 2019 13:05Serikali ya Uganda imeendelea kuwatimua wakurugenzi wa Shirika la Mawasiliano ya Simu za Mkononi nchini humo MTN kutokana na sababu za kiusalama.
-
SAUTI, Jeshi la polisi nchini Kenya lapata pigo baada ya makamanda wake watano kukutwa na hatia ya kuua
Feb 14, 2019 12:31Jeshi la polisi nchini Kenya limepata pigo baada ya mahakama moja ya mjini Kisumu, magharibi mwa taifa hilo, kusema inao ushahidi wa kutosha wa kuwashtaki makamanda watono jeshi hilo kwa kesi ya mauwaji.