-
SAUTI, Serikali ya China yaikabidhi Burundi jengo jipya la ikulu ya rais mjini Bujumbura
Feb 14, 2019 11:51Ikulu mpya ya rais wa Burundi ilojengwa kwa udhamini wa nchi ya China, leo imekabidhiwa rasmi kwa serikali ya Bujumbura.
-
Mgomo wa madaktari Kenya waingia wiki yake ya pili + Sauti
Feb 11, 2019 13:50Mgomo wa madaktari na wauguzi nchini Kenya umeingia juma la pili hivi leo (siku ya Jumatatu), huku maelfu ya wagonjwa wanao tafuta huduma katika hospitali za umma wakikosa kupata matibabu.
-
Taarifa ya polisi wa uganda kuhusu vita dhidi ya mihadarati na pasi za kughushi + Sauti
Feb 11, 2019 13:44Polisi ya Uganda imetangaza kuwa imemtia mbaroni mtu mmoja mwenye uwezo wa kughushi pasi za kusafiria na vile vile imeripoti kwamba mwanamke mmoja raia wa nchi hiyo amenaswa na madawa ya kulevya mjini Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu. Kwa maelezo kamili, tumtegee sikio ripota wetu wa mjini Kampala, Kigozi Ismail...
-
Kujiuzulu Benjamin Mkapa katika upatanishi kwapokewa kwa hisia tofauti nchini Burundi + Sauti
Feb 11, 2019 13:41Wananchi wa Burundi wamekuwa na hisia na maoni tofauti kuhusu msimamo uliotangazwa na msuluhishi wa mzozo wa nchi hiyo rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa wa kuamua kujiuzulu wadhifa huo. Kwa maelezo zaidi tuitegee sikio ripoti ya mwandishi wetu wa mjini Bujumbura, Hamida Issa...
-
Shahidi Zakaria, ushahidi mwingine wa ukatili wa Aal Saud na Mawahabi wa Saudia + Video
Feb 09, 2019 21:45Zakariya Bader al-Jabir mtoto Mwislamu aliyekuwa na umri wa miaka 6 wa madhehebu ya Shia ambaye alikuwa amekwenda katika mji mtakatifu wa Madina kwa ajili ya kuzuru kaburi la Mtume Muhammad (saw) ameuawa kikatili na dereva wa Kiwahabi wa Saudia.
-
Balozi Farhang: Miradi ya nyuklia ya Iran ni ya amani kikamilifu + Sauti
Feb 07, 2019 14:26Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania, Bw. Mousah Farhang amesema kuwa miradi ya nyuklia ya Iran ni ya amani kikamilifu, kinyume kabisa na propaganda zinazoenezwa na madola ya kibeberu. Ammari Dachi na taarifa kamili kutoka Dar es Salaam...
-
Benki ya ADB yaridhishwa na miradi yake Burundi + Sauti
Feb 07, 2019 14:21Ujumbe wa Benki ya Mandeleo ya Afrika ADB baada ya ziara yake ya wiki moja nchini Burundi umesema kuwa umeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyodhaminiwa na benki hiyo nchini humo. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura...
-
SAUTI, Uganda: Ugonjwa wa saratani unaua watu wengi zaidi kuliko malaria na kifua kikuu, uvutaji sigara ni sababu kuu
Feb 04, 2019 12:11Wizara ya Afya nchini Uganda imetangaza kwamba, ugonjwa wa saratani unaangamiza maisha ya watu wengi kuliko hata maradhi ya malaria.
-
Mwanajeshi Mzayuni atwangwa risasi na mwanamapambano wa Palestina + Video
Feb 03, 2019 21:34Tawi la kijeshi la harakati ya Jihadul Islami ya Palestina jana Jumapili lilisambaza video inayoonesha jinsi mtunga shabaha stadi (sniper) wa harakati hiyo alivyomdungua kwa risasi mwanajeshi Mzayuni ambaye alikuwa akiwashambulia kwa risasi waandamanaji wa Palestina.
-
Wazazi Njombe Tanzania walazimika kuacha kazi na kusindikiza watoto shuleni wasiuawe + Sauti
Feb 03, 2019 14:33Wazazi mkoani Njombe nchini Tanzania wameongeza uangalifu kwa watoto wao na wengine wanaacha shughuli zao ili kusindikiza watoto wao shuleni. Hii ni kutokana na wimbi la mauaji ya watoto hao mkoani humo. Amari Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam...