Balozi Farhang: Miradi ya nyuklia ya Iran ni ya amani kikamilifu + Sauti
Feb 07, 2019 14:26 UTC
Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania, Bw. Mousah Farhang amesema kuwa miradi ya nyuklia ya Iran ni ya amani kikamilifu, kinyume kabisa na propaganda zinazoenezwa na madola ya kibeberu. Ammari Dachi na taarifa kamili kutoka Dar es Salaam...
Tags