Wazazi Njombe Tanzania walazimika kuacha kazi na kusindikiza watoto shuleni wasiuawe + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i51312-wazazi_njombe_tanzania_walazimika_kuacha_kazi_na_kusindikiza_watoto_shuleni_wasiuawe_sauti
Wazazi mkoani Njombe nchini Tanzania wameongeza uangalifu kwa watoto wao na wengine wanaacha shughuli zao ili kusindikiza watoto wao shuleni. Hii ni kutokana na wimbi la mauaji ya watoto hao mkoani humo. Amari Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam...
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Feb 03, 2019 14:33 UTC