-
Ziara ya Rais wa Zanzibar nchini Imarati + Sauti
Jan 22, 2018 02:45RAis wa Zanzibar, Dk Ali Muhammed Shein yuko katika ziara ya kikazi ya wiki moja katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati). Maelezo zaidi yamo katika ripoti ya mwandishi wa Radio Tehran, visiwani Zanzibar, Harith Subeit.
-
Yumkini Uganda ikarejesha adhabu ya kifo (SAUTI)
Jan 19, 2018 13:06Kuna wafungwa 278 ambao wamehukumiwa kifo lakini Rais Museveni hajatia saini amri ya utekelezwaji wa hukumu hizo.
-
SAUTI, Waislamu Kenya wakasirishwa na hatua ya serikalia kushindwa kutoa radiamali yoyote kwa matusi ya Trump dhidi ya Afrika
Jan 18, 2018 13:11Viongozi wa dini ya Kiislamu nchini Kenya waghadhabishwa mno na hatua ya serikali ya Nairobi ya kuchelewa kuonyesha radiamali kali dhidi ya matamshi machafu ya Rais Donald Trump wa Marekani aliyoyatoa siku chache zilizopita kuwalenga Wafrika na mataifa yao.
-
Chama cha ACT Wazalendo Tanzania chataka Trump achukuliwe hatua kali
Jan 14, 2018 01:21Chama cha ACT Wazalendo cha nchini Tanzania kimetaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya Rais Donald Trump wa Marekani kufuatia hatua yake ya kutoa matamshi ya chuki dhidi ya mataifa ya Afrika na raia wanaotoka bara la Afrika.
-
SAUTI, Wafrika waendelea kulaani matamshi ya Trump, wamtaka ajiangalie kama anafanana na thamani iliyonayo Afrika
Jan 13, 2018 15:19Huku dunia ikiendelea kulaani vikalai matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekanmi aliyoyatoa siku ya Alkhamisi iliyopita ambapo aliyashambulia mataifa ya bara hilo na kuyafananisha na shimo la choo, Waafrika wameenonyesha kuchukizwa na kitendo huku wengine wakitaka kuchukuliwa hatua kali dhidi ya rais huyo.
-
Iran na Uganda zatia nia ya kuimarisha uhusiano baina yao + Sauti
Jan 13, 2018 06:01Wizara ya Mambo ya Nje ya Uganda imeitaka kamati maalumu iliyopewa jukumu la kufuatilia makubaliano ya pande mbili kati ya nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuongeza kasi ya kuhakikisha vipengee vyote vya mapatano hayo vinatekelezwa. Mwandishi wa Radio Tehran ana maelezo zaidi kutoka Kampala
-
Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Jan 12, 2018 13:29Rais wa Zanzibar Dakta Ali Mohamed Shein aahidi elimu ya sekondari bila malipo
-
SAUTI, Ziara ya Edward Lowassa, kada wa chama cha upinzani Tanzania CHADEMA katika ikulu ya rais
Jan 11, 2018 08:32Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka 2015 nchini Tanzania, Edward Lowassa leo amekutana na Rais John Magufuli wa nchi hiyo na kumpongeza kwa kazi nzuri iliyofanywa na serikali yake tangu aliposhika madaraka.
-
Wanawake wanaotalikiwa Zanzibar kupewa asilimia 50 ya mali walizochuma kwenye ndoa
Jan 09, 2018 13:28Wanawake wanaotalikiwa katika visiwa vya Zanzibar sasa watapewa asilimia 50 ya mali walizochuma wakiwa kwenye ndoa.
-
SAUTI, Serikali visiwani Zanzibar yatakiwa kusaidia harakati za kutokomeza vitendo vya udhalilishaji dhidi ya wasichana
Jan 08, 2018 14:26Jumuiya Ya Walimu wa Madrasa za Qur-an inayojishughulisha na kupiga vita vitendo vya udhalilishaji visiwani Zanzibar, imeiomba serakali ya mapinduzi ya Zanzibar kuweka Hukumu Kali Kwa Watu Wanaofanya vitendo vya Udhalilishaji dhidi ya wanawake na watoto.