-
SAUTI, Waislamu watakiwa kuyaenzi mafundisho ya Qur'an Tukufu na kuacha mifarakano
Jan 08, 2018 13:56Waislamu duniani wametakiwa kuenzi mafundisho ya Qur'an Tukufu sambamba na kuachana na tofauti ndogondogo zinazoweza kuwafanya kutokuwa wamoja.
-
SAUTI, Serikali ya Tanzania yaendelea kuwatoa khofu Watanzania juu ya masuala ya kiuchumi, yasema wasiwe na wasi wasi
Jan 08, 2018 13:53Huku serikali ya Tanzania chini ya Rais John Pombe Magufuli inaingia katika mwaka wa tatu wa uongozi wake,serikali hiyo imewatoa hofu wananchi juu ya hali ya uchumi.
-
Tundu Lissu amshangaa Rais Magufuli kutozungumza chochote kuhusu waliomshambulia
Jan 05, 2018 14:52Mwanasheria Mkuu wa chama cha CHADEMA cha nchini Tanzania amesema kuwa anaamini serikali ya Tanzania ilikuwa inajua vyema kuhusu shambulio dhidi yake. Amesema hayo leo Ijumaa mbele ya waandishi wa habari nchini Kenya akiwa katika maandalizi ya kurejea Tanzania kesho Jumamosi. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti hii ya mwandishi wa Radio Tehran.
-
Museveni 'ajirefushia' muda wa kubakia madarakani + SAUTI
Jan 03, 2018 04:04Rais Yoweri Museveni wa Uganda ametia saini na kuufanya kuwa sheria muswada wa kuondoa kikomo cha umri wa rais wa nchi hiyo, suala ambalo limemfungulia njia ya kuwania tena urais mwaka 2021.
-
SAUTI, Mpango: Uchumi wa Tanzania unazidi kuimarika zaidi ukilinganishwa na nchi wanachama wa EAC
Dec 29, 2017 13:36Tanzania ndio nchi ambayo imeonekana kuwa na kiwango kikubwa cha ukuaji uchumi katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo kwa mwaka huu uchumi wake umekuwa kwa asilimia 6.8 ikilinganishwa na mwaka jana wakati kama huu.
-
Qur'ani ya kwanza kabisa kuwahi kufasiriwa kwa lugha ya Kirundi + SAUTI
Dec 26, 2017 06:10Kwa mara ya kwanza katika historia ya Uislamu nchini Burundi kumezinduliwa tafsiri ya Qur'ani nzima kwa lugha ya Kirundi.
-
Burundi kurefusha muda wa urais kutoka miaka mitano hadi saba, Pierre Nkurunzinza kuendelea kutawala
Dec 19, 2017 05:57Serikali ya Burundi iko mbioni kufanyia marekebisho katiba ya nchi hiyo na kumuongezea muda wa kutawala rais kutoka miaka mitano hadi saba, suala ambalo linatoa fursa kwa Rais Nkurunziza kuiongoza nchi hiyo hadi mwaka 2034. Hamida Issa na maelezo zaidi
-
Sheikh Ponda Issa Ponda ashinda tena kesi mahakamani Tanzania + Sauti
Dec 19, 2017 05:53Kwa mara nyingine tena Sheikh Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya za Kiislamu nchini Tanzania kwa mara nyingine tena ameshinda kesi mahakamani na hivyo kuachiliwa huru. Mwandishi wetu Silvano Kayera na maelezo zaidi kutoka jijini Dar es Salaam.
-
Juhudi za kukuza Kiswahili nchini Rwanda
Dec 19, 2017 05:51Juhudi za kukuza lugha tamu ya Kiswahili zinaendelea nchini Rwanda, baada ya nchi hiyo kukitangaza Kiswahili kuwa lugha ya nne rasmi nchini humo. Mwandishi wetu Sylvanus Karemera na maelezo zaidi kutoka Kigali.
-
RIPOTI: Tanzania yaitaka UN ichunguze mauaji ya askari wake huko DRC (SAUTI)
Dec 14, 2017 12:56Miili ya wanajeshi 14 wa JWTZ waliouawa Kongo DR yaagwa.