-
SAUTI, Ripoti ya matukio ya Kiislamu, kuanzia mashindano ya Qur'an Tanzania na ubaguzi wa kidini huko Kenya
Jun 16, 2017 13:37Ni ripoti ya matukio ya Kiislamu yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, ambayo imeandaliwa na mwandishi wetu wa visiwani Zanzibar, Hassan Issa Ali.
-
VIDEO: Magaidi wakiingia katika ofisi za huduma kwa raia za Bunge la Iran mjini Tehran
Jun 08, 2017 14:11Video ya awali kabisa inayoonesha magaidi wakiingia katika jengo la kutoa huduma kwa wananchi wa kawaida la Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, yaani Bunge la Iran.
-
VIDEO: Jeshi la SEPAH la Iran likiokoa wafanyakazi waliovamiwa na magaidi katika ofisi za Bunge, Tehran
Jun 08, 2017 14:06Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran wakiwaokoa wafanyakazi wa ofisi za Bunge mjini Tehran baada ya magaidi kujiingiza kwenye jengo hilo kwa mavazi ya kike.
-
SAUTI: Rwanda yasoma bajeti yake leo yaonyesha ongezeko la asilimia 7.6%, kilimo chazidi kutupwa mkono
Jun 08, 2017 10:57Rwanda imetangaza bajeti yake sambamba na baadhi ya nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika mashariki.
-
SAUTI, Sutafahamu ya kisiasa yaigubika Kongo DR kufuatia matamshi ya Rais Joseph Kabila kuwa hakuwahi kuahidi uchaguzi
Jun 04, 2017 10:30Matamshi ya Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kwamba, hakuwahi kuahidi chochote kuhusiana mchakato wa kufanyika uchaguzi wa rais mwaka huu nchini humo, yameibua swintofahamu baina ya wanasiasa.
-
Sakata la Mbunge John Mnyika kutupwa nje ya Bunge Tanzania
Jun 03, 2017 05:36Wabunge nchini Tanzania wameelezea kutofurahishwa na kitendo cha Spika wa Bunge la nchi hiyo Job Ndugai cha kumtoa kwa nguvu mbunge wa upinzani John Mnyika (CHADEMA) na kusema kuwa vitendo hivyo ni unyanyasaji dhidi ya wabunge wa upinzani na ni kuwapendelea wabunge wa chama tawala CCM. Mwandishi wa Radio Tehran na maelezo zaidi...
-
IGP mpya wa Tanzania aahidi kuzima mauaji Kibiti
May 31, 2017 12:41Awapa tahadhari wanaojihusisha na mauaji hayo kuwa chuma chao ki-motoni.
-
Watakaohujumu mradi wa reli ya kisasa ya SGR nchini Kenya, kunyongwa!
May 31, 2017 12:37Rais Uhuru Kenyatta azindua usafiri wa reli ya kisasa, ulioigharimu nchi hiyo karibu Shilingi bilioni 400 (Dola Milioni 40 za Marekani).
-
Waislamu Tanzania watakiwa kukithirisha ibada mwezi huu wa Ramadhani
May 30, 2017 12:31Waislamu Tanzania watakiwa kukithirisha ibada mwezi huu wa Ramadhani na hata baada ya funga.
-
SAUTI, Hatimaye waasi wa Ninja wawaachilia huru abiria wa mabasi mawili waliyoyateka, huku wakiwanyang'anya mavazi yao
May 29, 2017 10:45Hatimaye Waasi wa Ninja nchini Congo Brazzaville wamewaachilia huru raia waliowateka nyaraka siku chache zilizopita baada ya juhudi za jeshi la nchi hiyo za kuwaokoa kuambulia patupu.