Waislamu Tanzania watakiwa kukithirisha ibada mwezi huu wa Ramadhani
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i29812-waislamu_tanzania_watakiwa_kukithirisha_ibada_mwezi_huu_wa_ramadhani
Waislamu Tanzania watakiwa kukithirisha ibada mwezi huu wa Ramadhani na hata baada ya funga.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
May 30, 2017 12:31 UTC

Waislamu Tanzania watakiwa kukithirisha ibada mwezi huu wa Ramadhani na hata baada ya funga.

Ikiwa Waislamu  nchini Tanzania wameungana na wenzao duniani kote kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani, waumini hao wametakiwa kutekeleza nguzo hiyo muhimu kikamilifu kwa kuhakikisha wanajiepusha na matendo maovu yasiyompendezea Mola wao katika  kipindi hiki cha funga na hata baada ya funga.

Taarifa zaidi na Omar Manji akiripoti kutoka Dar es Salaam......