- 
          Balozi wa Korea Kaskazini nchini Russia: Marekani itashindwa huko Ukraine kama ilivyofeli AfghanistanOct 22, 2023 03:20Balozi wa Korea Kaskazini nchini Russia amelaani uungaji mkono na misaada ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine na kusema, mara hii pia Marekani itashindwa na kufeli kama ilivyokuwa huko Afghanistan. 
- 
          Umoja wa Mataifa watoa wito wa kulindwa Mashia nchini AfghanistanOct 15, 2023 15:20Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binadamu ametoa wito wa kulindwa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Afghanistan. 
- 
          Tarehe 7 Oktoba; kumbukumbu ya uvamizi wa Marekani nchini AfghanistanOct 10, 2023 02:36Miaka 22 iliyopita, Marekani iliishambulia nchi ya Afghanistan kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi na kurudisha amani nchini humo, jambo ambalo lilipelekea Waafghani kukabiliwa na matatizo na machungu mengi. 
- 
          Waliofariki katika tetemeko la ardhi nchini Afghanistan wapindukia 320Oct 08, 2023 07:12Idadi ya watu waliofariki dunia katika tetemeko la ardhi lililotokea jana nchini Afghanistan imepindukia 320. 
- 
          Taliban yasema itajibu mapigo endapo Pakistan itaishambulia kijeshi AfghanistanSep 19, 2023 06:45Katika mjibizo kwa kitisho ilichotoa Pakistan cha kufanya mashambulio ya kijeshi ndani ya ardhi ya Afghanistan, msemaji wa serikali ya Taliban amesema Kabul itajibu mapigo kwa shambulizi lolote litakalofanywa. 
- 
          Mkuu wa majeshi ya Marekani akiri rasmi kuwa wameshindwa katika vita vya AfghanistanSep 16, 2023 02:25Mkuu wa majeshi ya Marekani Jenerali Mark Milley amekiri kuwa vita ilivyoanzisha nchi hiyo huko Afghanistan vimeishia kwa kushindwa vikosi vya jeshi hilo. 
- 
          Wasiwasi wa UN juu ya kuwepo na kuongezeka harakati za DAESH (ISIS) nchini AfghanistanAug 29, 2023 02:44Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena limeelezea kwamba linatiwa wasiwasi na kuwepo na kuongezeka kwa shughuli za kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) nchini Afghanistan. 
- 
          Njama za Uingereza za kuzuia uchunguzi kuhusu jinai za wanajeshi wake dunianiAug 25, 2023 08:04Kwa mujibu wa televisheni ya Sky News, serikali ya Uingereza inatumia vizingizio mbalimbali vya kuzuia uchunguzi kuhusu jinai za wanajeshi wake katika nchi nyingi duniani vikiwemo visingizio vya kiusalama. 
- 
          Athari haribifu za kisaikolojia kwa wasichana wanaozuiwa kuendelea na masomo nchini AfghanistanAug 24, 2023 02:32Madaktari wa masuala ya akili na saikolojia nchini Afghanistan wametoa tamko la kutisha linaloonesha ongezeko la wagonjwa wa akili hasa kati ya wasichana na uchunguzi wa madaktari hao unaonesha kuwa, kuzuiwa wasichana kuendelea na masomo kunachangia sana hali yao mbaya ya kisaikolojia, kujiona duni na kukata tamaa na msongo wa mawazo nchini humo. 
- 
          Kushindwa siasa za kibeberu za Marekani nchini AfghanistanAug 18, 2023 02:24Serikali ya kundi la Taliban nchini Afghanistan imesema kuwa njama za wavamizi na madola ya kibeberu zitashindwa tu nchini humo.