-
Binti wa Desmond Tutu avuliwa Ukasisi kwa kuoa mwanamke mwenzake
May 24, 2016 23:36Binti wa Desmond Tutu, kiongozi mashuhuri wa Kikristo wa Afrika Kusini amevuliwa joho la Ukasisi baada ya kuoa mwanamke mwenzake.
-
Rais wa Afrika Kusini akata rufaa juu ya kesi za ufisadi dhidi yake
May 24, 2016 11:50Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ametangaza kuwa atakata rufaa kupinga kufufuliwa kesi za ufisadi wa kifedha dhidi yake.
-
Tanzania, Kenya na Afrika Kusini zaanza kununua gesi asilia ya Iran
May 22, 2016 23:04Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza kuziuzia nchi za Afrika Kusini, Kenya na Tanzania gesi asilia oevu (LNG).
-
Wabunge wa upinzani Afrika Kusini waburutwa nje ya Bunge kwa kuzuia hotuba ya Zuma
May 17, 2016 10:07Kwa mara nyingine tena, Bunge la Afrika Kusini limegeuka na kuwa ukumbi wa mieleka na malumbano kufuatia hatua ya wabunge wa upinzani kuzusha fujo kwa lengo la kuzuia hotuba ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
-
CIA ilitoa taarifa zilizopelekea kukamatwa Shujaa Mandela mwaka 1962 huko Durban
May 15, 2016 23:27Hayati Shujaa Nelson Mandela wa Afrika Kusini alikamatwa na utawala wa makaburu mwaka 1962 kufuatia taarifa za siri zilizotolewa na shirika kuu la kijasusi la Marekani, CIA.
-
Mkuu wa zamani wa polisi Afrika Kusini asailiwa
May 08, 2016 03:03Tume ya uchunguzi wa mauaji ya mwaka 2012 katika kijiji cha Marikana nchini Afrika Kusini imemsaili mkuu wa zamani wa polisi wa nchi hiyo.
-
Wapinzani wa Afrika Kusini wasusia kikao cha bunge
May 06, 2016 08:33Wabunge wa vyama vya upinzani jana Alkhamisi walikataa kuhudhuria kikao cha bunge. Siku ya Jumatano wabunge wa chama cha Economic Freedom Fighters walifukuzwa bungeni kutokana na kuvuruga shughuli za bunge.
-
Waandamanaji wenye hasira nchini Afrika Kusini wachoma shule 13
May 05, 2016 09:42Waandamanaji wenye hasira wameteketeza shule 13 katika mkoa wa kaskazini mwa Afrika Kusini.
-
Wabunge wa Afrika Kusini watandikana juu ya hotuba ya Zuma
May 04, 2016 22:16Bunge la Afrika Kusini jana Jumatano liligeuka na kuwa ukumbi wa mieleka huku wabunge wa upinzani wakizusha fujo kuzuia hotuba ya Rais Jacob Zuma juu ya bajeti.
-
Afrika Kusini na Zimbabwe zatimua raia 200 wa Msumbiji
May 03, 2016 23:53Afrika Kusini na Zimbabwe zimewarejesha nyumbani raia 197 wa Msumbiji. Hayo yamesemwa na Idhaa ya Taifa ya Msumbuji.