-
Kunyongwa wapinzani wa utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain
Jan 16, 2017 04:19Utawala wa Ukoo wa Aal Khalifa jana Jumapili asubuhi uliwanyonga vijana watatu wapinzani pamoja na kuwa mashirika ya kutetea haki za binadmau yalikuwa yamemuandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa yakitaka vijana walionyongwa kuachiliwa huru mara moja.
-
Iran yalaani mauaji ya wanaharakati Bahrain, upinzani waitisha maandamano nchi nzima
Jan 16, 2017 00:22Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain ya kuwanyonga wanaharakati watatu wa nchi hiyo kwa madai bandia ya kuhusika na shambulizi la kigaidi la mwaka 2014.
-
Umoja wa Mataifa walaani hatua ya Bahrain kuwanyonga wanaharakati
Jan 15, 2017 10:57Umoja wa Mataifa umelaani vikali hatua ya utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain ya kuwanyonga wanaharakati watatu kwa madai bandia ya kuhusika na shambulizi la kigaidi la mwaka 2014.
-
Polisi Bahrain washambulia shule na kufyatulia wanafunzi mabomu
Jan 12, 2017 00:16Mashirika ya kutetea haki za binadamu yamekosoa vikali hatua ya maafisa usalama wa Aal-Khalifa nchini Bahrain kushambulia shule moja na kuwafyatulia wanafunzi mabomu ya kutoa machozi.
-
Wabahrain waandamana kumuunga mkono Sheikh Isa Qassim
Jan 06, 2017 04:44Maelfu ya wananchi wa Bahrain wameandamana kote katika ufalme huo kwa siku ya pili mfululizo wakipinga kukandamizwa mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Ayatullah Sheikh Isa Qassim.
-
Wanazuoni wa Bahrain walaani mzingiro katika kijiji cha Diraz
Jan 04, 2017 04:18Wanazuoni nchini Bahrain wamekosoa vikali na kutoa wito wa kuondolewa mzingiro dhidi ya kijiji cha Diraz, anakoishi msomi na mwanaharakati wa Kiislamu nchini humo Sheikh Isa Qassim.
-
Al-Wefaq: Jamii ya kimataifa imefumbia macho mzingiro wa Diraz, Bahrain
Jan 04, 2017 00:27Chama kikuu cha upinzani nchini Bahrain kimekosoa kimya cha jamii ya kimataifa juu ya mzingiro dhidi ya eneo la Diraz na ukandamizaji wanaofanyiwa wakazi wa eneo hilo kwa zaidi ya nusu mwaka sasa.
-
Jela yavamiwa na watu wenye silaha Bahrain, wafungwa waachiwa huru
Jan 01, 2017 13:06Watu waliokuwa na silaha wameivamia jela ya Jau nchini Bahrain na kumuua polisi mmoja na kuwatorosha wafungwa wa jela hiyo. Hayo yameelezwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Bahrain.
-
Bahrain yalaaniwa kwa kuanzisha uhusiano na Israel
Dec 29, 2016 03:53Utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain umelaaniwa vikali kwa hatua yake ya kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Mwanaharakati mashuhuri wa haki za binadamu Bahrain aachiwa huru
Dec 28, 2016 11:02Nabil Rajab, mwanaharakati mtajika wa kutetea haki za binadamu nchini Bahrain ambaye amezuiliwa kwa miezi kadhaa na polisi ya nchi hiyo ameachiwa huru kufuatia mashinikizo ya ndani na nje ya nchi.