-
HRW: Bangladesh inawanyima elimu watoto laki 4 wa Kirohingya
Dec 04, 2019 07:08Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema serikali ya Bangladesh imewanyima haki ya kupata elimu watoto laki nne Waislamu Warohingya wanaoishi kama wakimbizi nchini humo.
-
Bangladesh yashikilia hukumu ya kifo dhidi ya Azharul Islam
Nov 01, 2019 01:14Mahakama ya Juu ya Bangladesh imeidhinisha hukumu ya kifo iliyotolewa mwaka 2014 dhidi ya kinara wa chama cha Kiislamu cha Jamaat-e-Islami, A T M Azharul Islam, kwa tuhuma za kutenda jinai za kivita.
-
Askari wa Bangladesh wambaka binti wa miaka 12 wa Rohingya
Oct 04, 2019 01:41Jeshi la Bangladesh limesema kuwa linachunguza malalamiko ya familia moja ya Waislamu wa Rohingya inayoishi katika kambi ya wakimbizi nchini humo inayosema kuwa askari wa Bangladesh wamembaka binti yao wa miaka 12.
-
Bagladesh: Myamar haitaki kuwarejesha nchini wakimbizi wa Rohingya
Jun 11, 2019 07:49Waziri Mkuu wa Bangladesh ameikosoa vikali serikali ya Myanmar kwa kutoonesha nia wala mpango wa kuwa tayari kuwapokea wakimbizi Waislamu wa Rohingya waliokimbilia nchini humo miaka miwili iliyopita.
-
Bangladesh yalaani uongo wa Myanmar, yakataa kuwapokea tena Waislamu wa Rohingya
Mar 01, 2019 15:26Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Bangladesh amelieleza Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba nchi yake haitopokea mkimbizi mwingine yeyote wa jamii ya Rohingya kutoka Myanmar.
-
Bangladesh yawazuia kuingia nchini humo Waislamu 31 wa Rohingya waliokimbia India
Jan 22, 2019 02:46Bangladesh imektaa kuwapokea makumi ya Waislamu wa JAMII YA Rohingya waliotaka kuingia nchini humo wakitokea nchi jirani ya India; na hivyo kuwaacha raia hao wakiwa wamekwama katika eneo lisilo na makazi kwenye mpaka wa nchi hizo mbili.
-
Bangladesh yatumia askari kuwafukuza kwa nguvu wakimbizi Warohingya
Nov 14, 2018 14:21Serikali ya Bangladesh imetuma maafisa usalama wakiwemo wanajeshi na askari polisi katika kambi za wakimbizi Waislamu wa Rohingya katika eneo la Cox wilayani Bazar, kusini mashariki mwa nchi kwa lengo la kuwafukuza kwa nguvu wakimbizi hao na kuwarejesha Myanmar.
-
UN: Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na hatari kubwa wakirejeshwa Myanmar
Nov 14, 2018 02:39Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameitaka serikali ya Bangladesh kusimamisha mpango wake wa kuwarejesha kwa nguvu nchini Myanmar maelfu ya wakimbizi Waislamu wa Rohingya akisisitiza kuwa maisha yao yatakuwa hatarini.
-
Bangladesh na mpango wa kuwahamishia wakimbizi Waislamu Warohingya laki moja katika kisiwa kilichotelekezwa
Oct 28, 2018 02:29Serikali ya Bangladesh imetangaza kuwa karibuni hivi itawahamishia katika kisiwa kilichotelekezwa, Waislamu wa jamii ya Rohingya wapatao laki moja.
-
Bangladesh: Myanmar imetutaka tuache kuwasaidia wakimbizi wa Rohingya
Aug 13, 2018 07:38Wizara ya Mambo ya Nje ya Bangladesh imesema kuwa, Myanmar imeitaka serikali ya nchi hiyo kusimamisha misaada ya kibinaadamu kwa malaki ya wakimbizi wa Rohingya walioko katika maeneo ya mpaka wa nchi mbili.