-
FAO: Iran kuzalisha zaidi ya tani milioni 20 za nafaka
Jun 25, 2024 07:45Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza kuwa, uzalishaji wa nafaka katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran utazidi tani milioni 20 mwaka huu.
-
FAO: Hatua za kupunguza athari za El Nino kwa usalama wa chakula zimezaa matunda
May 18, 2024 12:38Hatua zilizochukuliwa miaka miwili iliyopita na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) ili kupunguza athari mbaya za mvua za El Niño katika nchi 23 duniani zimelinda usalama wa chakula na maisha ya watu zaidi ya milioni 1.6.
-
Afisa wa FAO: Ulaya yakabiliwa na upungufu wa chakula huku bei zikiongezeka kimataifa
Mar 06, 2024 07:34Afisa wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) ametanagza kuwa matukio yanayojiri katika Bahari Nyekundu na katika mlango bahari wa Bab Al-Mandab yameathiri biashara ya chakula duniani na kusababisha ongezeko la bei kimataifa.
-
FAO: Nchi zipatazo 60 zinakabiliwa na hali mbaya ya uhaba wa chakula wa viwango vya kutisha
May 08, 2023 02:59Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza katika ripoti yake kwamba karibu nchi 60 duniani zinakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula na katika viwango vya kutisha.
-
FAO: Wanawake wanashikilia nafasi ya pambizoni katika uzalishaji wa chakula
Apr 18, 2023 01:29Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) limesema katika ripoti yake nadra kuwahi kutolewa kuhusu kukosekana kwa usawa wazi katika sekta hiyo.
-
Shirika la FAO latahadharisha kuhusu taathira za kupanda kwa bei za vyakula
Jan 07, 2023 10:21Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa limetahadharisha kuwa, kuendelea kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali za vyakula kunatishia usalama wa chakula duniani hasa katika nchi maskini.
-
Nusu ya watu bilioni moja wa nchi za eneo ni wateja wa mazao ya kilimo ya Iran
Jan 01, 2023 12:24Mkuu wa Kamisheni ya Kilimo, Maji, Maliasili na Mazingira katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa zaidi ya watu milioni 500 katika nchi za kanda hii na jirani zake wanataka kunufaika na bidhaa za kilimo za Iran.
-
Indhari ya FAO: Watu karibu milioni moja wanakabiliwa na hatari ya njaa
Sep 22, 2022 02:08Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetahadharisha kuwa watu karibu milioni moja wanakabiliwa na hatari ya kukumbwa na njaa katika maeneo mbalimbali duniani.
-
Euro bilioni 1.8 zakusanywa kwa ajili ya kupambana na njaa Afrika Magharibi
Apr 09, 2022 02:30Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza kuwa, Euro bilioni 1.8 zimekusanywa kwa ajili ya kupambana na janga la njaa Afrika Magharibi.
-
FAO yatoa wito wa kuwasaidia waathirika wa ukame katika nchi za Kenya, Ethiopia na Somalia
Feb 04, 2022 07:53Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO katika Ukanda wa Afrika Mashariki limetoa wito kwa wananchi, taasisi binafsi na mashirika ya dini kuchangia wananchi walioathirika na ukame pamoja na mazao yao kuharibiwa na nzige katika nchi za Kenya, Ethiopia na Somalia.