-
Wagombea wa urais Iran wabainisha mipango yao kwenye mdahalo wa kwanza
Jun 17, 2024 23:56Mdahalo wa kwanza wa wagombea urais nchini Iran ulifanyika jana usiku kupitia televisheni ya taifa, na kuendelea kwa muda wa karibu saa nne.
-
Mokhber: Nchi za Waislamu ziungane kuzima jinai za Israel Gaza
Jun 17, 2024 04:16Kaimu Rais wa Iran ametaka kuwepo umoja na mshikamano miongoni mwa nchi za Waislamu ili kukomesha jinai na mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Iran: Taarifa iliyotolewa na Troika ya Ulaya haina itibari
Jun 17, 2024 02:29Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekosoa vikali taarifa ya pamoja ya nchi tatu za Ufaransa, Ujerumani na Uingereza (Troika ya Ulaya) kuhusu mradi wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu wenye malengo ya amani na kusisitiza kuwa, taarifa hiyo imetolewa kwa kutegemea tuhuma bandia na zisizo na msingi.
-
Kaimu Rais wa Iran awapongeza Waislamu kwa mnasaba wa Idul Adh'ha
Jun 16, 2024 23:25Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyatumia ujumbe mataifa ya Kiislamu akiyapongeza kwa mnasaba wa kuadhimisha sikukuu ya Idul Adh'ha.
-
Walinzi wa mpaka wa Iran wazima njama za shambulio la kigaidi kabla ya uchaguzi wa rais wa mapema
Jun 15, 2024 23:30Kamanda wa polisi wa mpakani wa Iran anasema kuwa, vikosi vyake vimetibua njama ya kigaidi kabla ya uchaguzi wa rais wa Juni 28, na kuwalazimisha magaidi hao waliopanga kufanya mashambulio ndani ya Iran kuikimbia nchi na kuacha nyuma silaha zao.
-
Kiongozi Muadhamu: Amali za Hija zinawatia wahaka maadui
Jun 14, 2024 11:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema amali za ibada tukufu ya Hija zinawatia hofu na wasiwasi mkubwa maadui.
-
Ayatullah Khatami: Mirengo yote ina wagombea wao kwenye uchaguzi ujao wa Rais nchini Iran
Jun 14, 2024 07:58Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya hapa Tehran amesema kuwa, hivi sasa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeimarika mno kiasi kwamba mirengo yote ina wawakilishi wao katika uchaguzi ujao wa Rais humu nchini.
-
Uchaguzi wa rais Iran: Qalibaf aongoza katika utafiti wa maoni
Jun 14, 2024 06:52Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Baqer Qalibaf anaongoza katika utafiti wa maoni, kuelekea uchaguzi wa mapema wa rais unaotazamiwa kufanyika Juni 28.
-
Uhusiano wa Iran na Qatar unaendelea kuimarika katika nyanja zote
Jun 13, 2024 22:43Safari ya Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Qatar na kukutana kwake na Amir wa nchi hiyo kumefanyika katika mazingira ya kirafiki jambo linaloonyesha kuwa uhusiano wa Doha na Tehran unazidi kukua na kuimarika katika nyanja zote.
-
Iran: Mataifa ya Kiislamu yanapaswa kutumia suhula zote ili kusitisha jinai za Wazayuni Gaza
Jun 13, 2024 08:37Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran haitawaruhusu wavamizi wa Kizayuni kudhoofisha uthabiti na usalama wa eneo hata kwa chembe moja.