-
Jeshi la Iraq lajiandaa kuukomboa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa Daesh
Feb 05, 2016 03:52Kamanda wa operesheni za wapiganaji wa kujitolea nchini Iraq unaofahamika kwa jina la 'al-Hashdu sh-Sha'bi' ameelezea kukamilika mpango wa operesheni za kuukomboa na kuusafisha mji wa Mosul, makao makuu ya mkoa wa Nainawa, ulioko kilometa 400 kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo Baghdad.