-
Udiplomasia wa Rais Rouhani mjini New York; ulazima wa kutekeleza kikamlifu mapatano ya nyukli
Sep 22, 2016 03:55Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika masaa yake ya awali akiwa mjini New York kwa ajili ya kuhutubu katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja za Mataifa, ametumia fursa hiyo kuzungumza na baadhi ya viongozi wa nchi za Ulaya.
-
Amano: Iran imetekeleza mpango wa JCPOA
Sep 19, 2016 22:15Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesema kuwa Iran imetekeleza ahadi zake kuhusiana na Mpango Kamili ya Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Iran yakosoa ripoti ya Ban kuhusu mapatano ya nyuklia
Jul 19, 2016 09:11Iran imesema ripoti ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Tehran inavyotekeleza mapatano ya nyuklia imejaa maelezo ambayo hayajakamilika.
-
Marekani yakiri, Iran imetekeleza JCPOA
Jul 19, 2016 03:09Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amekiri kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hadi sasa imetekeleza vipengee vyote vya makubaliano ya nyuklia maaufu kwa kifupi JCPOA.
-
Zarif: Marekani ina utendaji dhaifu katika utekelezaji mapatano ya nyuklia na Iran
Jul 18, 2016 23:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema Marekani imekuwa na utendaji dhaifu katika kufungamana na mapatano ya nyuklia yaliyofikiwa mwezi Julai mwaka jana baina ya Iran na madola sita makubwa duniani ya kundi la 5+1.
-
Iran yasema Marekani haitekelezi ipasavyo JCPOA
Jul 17, 2016 23:51Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Kimataifa ameikosoa Marekani kwa kushindwa kutekeleza ipasavyo makubaliano ya nyuklia ya Vienna, mwaka mmoja tangu yatiwe saini nchini Austria.
-
Rouhani: Ikilazimu, Iran itarejea katika mpango wa awali wa nyuklia
Jul 13, 2016 10:51Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuheshimu na kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya Vienna, lakini ameonya kuwa Tehran haitasita kutoa jibu iwapo upande wa pili utakosa kutekeleza makubaliano hayo ipasavyo.
-
Marekani itajuta ikikiuka mapatano ya nyuklia ya Iran
Jul 09, 2016 08:47Afisa wa ngazi za juu nchini Iran ameionya vikali Marekani kuwa itajuta iwapo itakiuka mapatano ya nyuklia baina ya Iran na madola sita makubwa duniani.
-
Iran yakosoa Kongresi ya Marekani kuzuia uuzwaji ndege za Boeing
Jul 08, 2016 08:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Marekani inapaswa kuondoa matatizo yanayoibuka nchini humo kuhusu utekelezwaji mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango wa Pamoja wa Utekelezwaji JCPOA.
-
Zarif: Uhusiano wa Iran na Ufaransa ni kwa maslahi ya dunia
Jun 23, 2016 03:37Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesisitiza umuhimu wa kuimarishwa uhusiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Ufaransa na kusema kuwa ushirikiano huo utachangia kuleta amani na uthabiti duniani.