Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Kiongozi: Umma ufahamishwe kuhusu hiana ya Marekani katika mapatano ya nyuklia

    Kiongozi: Umma ufahamishwe kuhusu hiana ya Marekani katika mapatano ya nyuklia

    Jun 21, 2016 02:56

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa umma unapaswa kufahamishwa kuhusu hiana inayofanywa na Marekani katika utekelezwaji wa mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Watakaokiuka mapatano ya nyuklia ya Iran watajuta

    Watakaokiuka mapatano ya nyuklia ya Iran watajuta

    Jun 19, 2016 10:13

    Wabunge wa Iran leo wameonya kuwa watakaokiuka mapatano ya nyuklia yaliyofikiwa baina ya Iran na madola sita makubwa duniani watajuta.

  • Iran: Kundi la 5+1 lazima litekeleza makubaliano ya Vienna

    Iran: Kundi la 5+1 lazima litekeleza makubaliano ya Vienna

    Jun 18, 2016 03:37

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelitaka kundi la 5+1 kutekeleza barabara makubaliano ya nyuklia kati ya Tehran na madola 6 yenye nguvu duniani yaliyofikiwa huko Vienna Julai mwaka jana.

  • Duru ya pili ya ziara ya Zarif barani Ulaya

    Duru ya pili ya ziara ya Zarif barani Ulaya

    Jun 13, 2016 07:08

    Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameanza duru yake ya pili ya safari yake barani Ulaya kwa kuitembelea Norway ambapo anatazamiwa kushiriki kikao cha "Oslo Forum".

  • Iran yasisitiza kuondolewa vizingiti vya kifedha na kibenki

    Iran yasisitiza kuondolewa vizingiti vya kifedha na kibenki

    Jun 10, 2016 23:13

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuhusu utekelezwaji kamili wa makubaliano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Iran yazitaka pande zote kutekeleza JCPOA ipasavyo

    Iran yazitaka pande zote kutekeleza JCPOA ipasavyo

    Jun 08, 2016 23:05

    Mjumbe wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA amezitaka pande husika kutekeleza kwa irada thabiti makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na kundi la 5+1.

  • Iran yaitaka Marekani kuchukua hatua zaidi juu ya makubaliano ya nyuklia

    Iran yaitaka Marekani kuchukua hatua zaidi juu ya makubaliano ya nyuklia

    May 31, 2016 23:37

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaka Marekani kuchukua hatua zaidi katika kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya Vienna, kati ya Tehran na kundi la 5+1.

  • Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kwa Magharibi kutekeleza ahadi zake kuhusiana na JCPOA

    Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kwa Magharibi kutekeleza ahadi zake kuhusiana na JCPOA

    May 22, 2016 23:00

    Katika miezi na wiki za hivi karibuni, Tehran imekuwa mwenyeji wa jumbe za kisiasa na kiuchumi kutoka nchi mbalimbali za Ulaya, Asia na Afrika. Katika safari hizo yamesainiwa makubaliano kadhaa katika nyanja za kiuchumi na uwekezaji wa pamoja katika kipindi hiki cha baada ya kufikiwa makubaliano ya nyuklia yajulikanao kama JCPOA.

  • Kuondolewa Iran vizingiti vya benki, mada kuu ya kikao cha London

    Kuondolewa Iran vizingiti vya benki, mada kuu ya kikao cha London

    May 21, 2016 23:51

    Vikwazo vya kinyuklia dhidi ya Iran viliondolewa miezi kadhaa iliyopita baada ya kuanza kutekelelzwa mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Ulaya, Marekani zitekeleze mapatano ya nyuklia ya Iran kivitendo

    Ulaya, Marekani zitekeleze mapatano ya nyuklia ya Iran kivitendo

    May 21, 2016 11:28

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran ametoa wito kwa nchi za Ulaya na Marekani kuchukua hatua za kivitendo kuondoa vikwazo vya kibenki na kiuchumi dhidi ya Iran kwa mujibu wa mapatano ya nyuklia mwaka jana kati ya Tehran na madola sita makubwa duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS