-
Sisitizo la Rouhani kuhusu kutekelezwa kikamilifu mapatano ya nyuklia na pande zote
May 16, 2016 08:22Hassan Rouhani, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumapili alikutana na mabalozi na wawakilishi wa Iran katika nchi za kigeni katika kongamano la "Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na Uchumi wa Muqawama; Fursa na Uwezo"
-
Iran: IAEA imethibitisha kuwa nchi hii inatekeleza JCPOA
May 11, 2016 03:07Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Wakala wa Kimataifa wa Niashati ya Atomiki IAEA kwa mara nyingine tena umethibitisha kuwa Tehran inatekeleza makubaliano ya nyuklia yaliyopewa jina la Utekelezaji wa Mpango wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Zarif: Iran itakabiliana na hatua zisizo za kisheria za Marekani
May 07, 2016 08:22Mohammad Javad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameshiriki katika kikao cha wabunge wateule wa bunge la 10 la Iran na kutoa hotuba kuhusu maudhui ya "Utunguaji Sheria, Mahitajio na Mbinu".
-
Spika wa Bunge la Iran asisitiza kutekelezwa makubaliano ya nyuklia (JCPOA)
Apr 28, 2016 10:46Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesisitiza kutekelezwa makubaliano ya nyuklia baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi zinazounda kundi la 5+1 yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
IAEA: Iran inatekeleza ipasavyo makubaliano ya nyuklia
Apr 02, 2016 02:35Kwa mara nyingine tena Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA umetoa ithibati kuwa serikali ya Tehran inatekelezwa barabara makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati yake na kundi la 5+1 Julai mwaka jana 2015.
-
Mogherini: Mpango wa JCPOA uko katika mkondo sahihi
Mar 16, 2016 03:45Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya ametangaza katika ripoti aliyotoa baada ya kufanyika kikao cha mashauriano kati yake na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya kuwa utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) upo katika mkondo sahihi.
-
Ripoti ya Amano yathibitisha utendaji wa Iran katika utekelezaji wa JCPOA
Feb 27, 2016 22:55Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amewasilisha ripoti yake kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran baada ya kutekelezwa mpango wa JCPOA.
-
Rais Rohani: Iran haikupoteza chochote kwenye JCPOA
Feb 09, 2016 04:36Rais Hassan Rohani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema leo kuwa, makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya nchi hii na madola makubwa duniani yalikuwa kwa manufaa ya pande zote na kwamba wanaosema Iran ilipoteza kwenye mazungumzo hayo wanapotosha ukweli wa mambo.
-
Misri kutumia JCPOA kuishinikiza Israel ijiunge na NPT
Feb 09, 2016 04:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya Iran na kundi la 5+1 maarufu kama JCPOA yanatoa fursa ya kipekee kwa serikali ya Cairo kuushinikiza utawala haramu wa Israel kujiunga na mkataba wa NPT unaozuia utengenezaji, usambazaji na utumiaji wa silaha za atomiki.
-
Rais Rouhani aipa nishani timu ya nyuklia ya Iran
Feb 08, 2016 13:16Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempa nishani ya heshima Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na amewapa nishani za ushujaa Waziri wa Ulinzi na Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran kutokana na kazi kubwa ya kujivunia waliyoifanya katika kadhia ya nyuklia.