-
Jeshi la Iran: Uwezo wa kiulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ni nembo ya kushindwa siasa za maadui
Aug 21, 2020 00:09Katika kuadhimisha Siku ya Sekta ya Ulinzi ya Iran tarehe 31 mwezi Mordad inayosadifiana na Ijumaa ya leo tarehe 21 Agosti, Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa taarifa likisisitiza kuwa: Uwezo wa kiulinzi wa Iran umekuwa nemboya kushindwa siasa za maadui wa Mapinduzi ya Kiislamu kutokana na jitihada za wataalamu na wanamapinduzi hapa nchini.
-
Iran inaweza kujikidhia asilimia 90 ya mahitaji yake ya kijeshi
Aug 16, 2020 07:48Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii inaweza kujikidhia asilimia 90 ya mahitajio yake ya kiulinzi kwa kiwango cha juu.
-
Tathmini ya utendaji wa jeshi la Syria katika kupambana na ugaidi kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ya kuasisiwa kwake
Aug 02, 2020 06:36Kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 75 wa kuasisiwa jeshi la Syria, Rais Bashar al Assad amelisifu na kulipongeza jeshi hilo kwa mchango wake katika vipindi tofauti vya vita dhidi ya ugaidi na kuendelea kwake kuwalinda watu wa nchi hiyo.
-
Jeshi la utawala wa Kizayuni lafuta mazoezi ya kijeshi likihofia kushambuliwa na Hizbullah
Jul 23, 2020 08:04Duru za habari za utawala wa Kizayuni zimetangaza kuwa wanajeshi wa Israel wamefuta mazoezi waliyopanga kufanya wakihofia kushambuliwa na harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Syria yawakamata magaidi wanaofungamana na Marekani
Jul 08, 2020 03:03Jeshi la Syria limetangaza kutekeleza oparesheni ambayo imepelekea kukamatwa wanachama wa kundi la kigaidi ambalo linafungamana na Marekani mashariki mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Anga la Iran lapokea ndege za kivita za 'Kauthar'
Jun 25, 2020 07:54Kikosi cha Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kimepokea ndege tatu za kivita aina ya 'Kauthar' zilizotengenezwa na wataalamu wa humu nchini.
-
Wasiwasi wa Pentagon na hata Republican kwa hatua ya Trump ya kutumia wanajeshi kukandamiza waandamanaji Marekani
Jun 04, 2020 12:41Maandamano makubwa ambayo hayajawahi kutokea mfano wake huko Marekani yamemtia kiwewe na kumuweka kwenye hali ngumu rais wa nchi hiyo mwenye majigambo na majivuno mengi, Donald Trump na kumfanya atoe amri ya kutumiwa jeshi, suala ambalo limelalamikiwa na Wizara ya Ulinzi, lakini hata wanachama wenzake ndani ya chama cha Republican nao hawakubaliani na uamuzi wake wa kutumia nguvu za kijeshi kukandamiza waandamanaji.
-
Yahya Rasul: Iraq haihitaji askari wa kigeni kwa ajili ya kupambana na ugaidi
Jun 03, 2020 07:28Msemaji wa kamandi kuu ya jeshi la Iraq amesema kuwa, nchi hiyo haihitai askari yeyote wa kigeni kwa ajili ya mapambano na mabaki ya ugaidi.
-
Waziri wa Vita wa Israel atoa amri ya kutekwa ardhi zaidi za Wapalestina, Ukingo wa Magharibi
Jun 02, 2020 11:30Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel amemtaka mkuu wa majeshi ya utawala huo katili na ghasibu afanyie uchunguzi njia za kutekeleza kivitendo mpango wa kuteka maeneo zaidi ya Wapalestina ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na aongeze utayari wa jeshi la Israel kwa ajili ya kutekeleza mpango huo.
-
"Gwaride la Huduma": Jeshi la Iran liko pamoja na wananchi katika vita dhidi ya corona
Apr 17, 2020 09:35Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima hulinda kiwango cha uwezo wake wa kiulinzi na kumzuia adui kuanzisha mashambulizi na wakati huo huo huwa pamoja na wananchi wakati wa maafa au majanga na kuwasaidia kutatua matatizo yao.