Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Kenya yaakhirisha kufungua tena mpaka wake na Somalia

    Kenya yaakhirisha kufungua tena mpaka wake na Somalia

    Jul 06, 2023 04:32

    Kenya jana ilitangaza kuwa imeakhirisha kufungua tena mpaka wake na Somalia baada ya mashambulizi ya karibuni katika ardhi yake. Kundi la wanamgambo wa al Shabab lenye makao yake Somalia linatuhumiwa kuhusika na mashambulizi hayo.

  • Watu 50 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani nchini Kenya

    Watu 50 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani nchini Kenya

    Jul 01, 2023 06:26

    Watu wasiopungua 50 wameaga dunia katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia leo Jumamosi katika kaunti ya Kericho, magharibi mwa eneo la Bonde la Ufa nchini Kenya.

  • IGAD yasema, Ruto ataendelea kuwa mpatanishi wake katika mzozo wa Sudan licha ya Jenerali Al Burhan kumkataa

    IGAD yasema, Ruto ataendelea kuwa mpatanishi wake katika mzozo wa Sudan licha ya Jenerali Al Burhan kumkataa

    Jun 16, 2023 11:09

    Jumuiya ya Maendeleo ya Kiserikali (IGAD) imesema uteuzi wa Ruto utabaki palepale kama mpatanishi wa jumuiya hiyo katika mzozo wa ndani nchini Sudan licha ya kiongozi wa kijeshi wa nchi hiyo, Jenerali Abdel Fattah al Burhan kumktaa akiituhumu Nairobi kwamba inamuunga mkono mpinzani wake.

  • Johnson & Johnson yashtakiwa Kenya kwa kuwauzia watu poda iliyopigwa marufuku Ulaya, Marekani

    Johnson & Johnson yashtakiwa Kenya kwa kuwauzia watu poda iliyopigwa marufuku Ulaya, Marekani

    Jun 13, 2023 12:16

    Shirika moja la kutetea haki za binadamu nchini Kenya limeshtaki shirika la kimataifa la Marekani, Johnson & Johnson, kwa kosa la kuwauzia Wakenya poda ya ulanga.

  • Viongozi wa Igad wanakutana leo Djibouti kujadili mapigano ya ndani Sudan

    Viongozi wa Igad wanakutana leo Djibouti kujadili mapigano ya ndani Sudan

    Jun 12, 2023 08:19

    Jumuiya ya Maendeleo ya Kiserikali (IGAD) inafanya mkutano wa kilele nchini Djibouti leo Jumatatu ili kuzishawishi pande mbili katika mgogoro wa Sudan kufanya mazungumzo ya kumaliza mapigano ya wenyewe kwa wenyewe, wakati huu ambapo mji mkuu Khartoum unashuhudia mapigano makali.

  • MSF yatahadharisha: Ugonjwa wa kipindupindu unaenea kwa kasi kubwa nchini Kenya

    MSF yatahadharisha: Ugonjwa wa kipindupindu unaenea kwa kasi kubwa nchini Kenya

    Jun 03, 2023 10:25

    Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limetangaza kuwa kipindupindu kinaenea kwa kasi miongoni mwa watu waliokimbia makazi yao wanaoishi katika kambi za wakimbizi nchini Kenya.

  • Sheikh Ali Saeed: Urithi wa Imam Khomeini unaendelea kuwatia moyo Waislamu + Video

    Sheikh Ali Saeed: Urithi wa Imam Khomeini unaendelea kuwatia moyo Waislamu + Video

    May 31, 2023 09:02

    Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Ja'fari mjini Nairobi, mji mkuu wa Kenya amesema: Fikra za Imam Ruhullah Khomeini zinatia matumaini mema na ni nguzo ya kuwawezesha na kuwapa nguvu Waislamu duniani.

  • Reuters 'yasutwa' kudai kwamba majasusi wa China wamefanya udukuzi mkubwa dhidi ya Kenya

    Reuters 'yasutwa' kudai kwamba majasusi wa China wamefanya udukuzi mkubwa dhidi ya Kenya

    May 26, 2023 02:40

    Serikali ya Kenya imesema madai yaliyotolewa na shirika la habari la Reuters, kwamba China imekuwa ikifanya udukuzi kwa miaka mingi dhidi ya nchi hiyo ni "propganda" tu.

  • "Yesu wa Tongaren" afikishwa mahakamani nchini Kenya

    May 12, 2023 08:48

    Raia wa Kenya aliyejitangaza kuwa ni Yesu na kuanzisha Kanisa la New Jerusalem eneo la Tongaren, Bungoma, alitarajiwa kurejeshwa mahakamani leo Ijumaa baada ya kulala kwenye seli ya polisi.

  • Mchungaji Paul Mackenzie na wenzake kubakia rumande kwa siku 30 Kenya

    Mchungaji Paul Mackenzie na wenzake kubakia rumande kwa siku 30 Kenya

    May 10, 2023 11:46

    Mhubiri tata wa Kikristo Paul Mackenzie anayekabiliwa na tuhuma za kuwashawishi wafuasi wake wafunga ili wawe wa kwanza kwenda mbinguni na kukutana na Yesu, Paul Mackenzie na mkewe Rhoda Maweu pamoja na washukiwa wengine 16 watazuiliwa kwa siku 30 gerezani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS