-
Afrika Kusini yaripoti kifo cha kwanza kilichosababishwa na chanjo ya Corona
Aug 05, 2022 01:13Afrika Kusini jana Alkhamisi ilitangaza habari ya kuaga dunia mtu mmoja baada ya kupigwa chanjo cha kukabiliana na maradhi ya Covid-19 ya Johnson and Johnson ya Marekani.
-
Iran yasafirisha nje dozi milioni 4 za chanjo za COVID-19
Apr 07, 2022 01:58Mkuu wa Shirika la Dawa na Chakula la Iran (FDA) amesema Jamhuri ya Kiislamu imefanikiwa kuuza nje ya nchi dozi milioni nne za chanjo za kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 zilizozalishwa hapa nchini.
-
Iran yafanyia majaribio yaliyofana chanjo ya kukabiliana na Omicron
Feb 17, 2022 03:19Shirika la Kutengeneza Dawa la Shifa la Iran limetangaza mafanikio makubwa ya awali katika majaribio ya chanjo ya kukabiliana na COVID-19 aina ya Omicron.
-
Maelfu waandamana Ulaya kupinga chanjo ya lazima ya Covid-19
Jan 16, 2022 07:59Maelfu ya wananchi wa Austria wamejitokeza mabarabarani katika maandamano ya kupinga hatua ya serikali ya kuwalazimisha wananchi kupiga chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19.
-
Kamanda wa IRGC adungwa chanjo ya COVID-19 ya Noora ya Iran
Jan 02, 2022 08:08Chanjo nyingine ya COVID-19 iliyotegenezwa Iran ijulikanayo kama Noora imeingia awamu ya tatu ya majaribio kwa mwanaadamu kwa kudungwa Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Iran yasajili chanjo yake ya Corona COVIran Barekat katika WHO
Jul 25, 2021 01:22Mchakato wa kusajili chanjo ya kuzuia ugonjwa wa COVID-19 iliyoundwa hapa nchini Iran ya COVIran Barekat katika Shirika la Afya Duniani (WHO) umeanza.
-
Rais Rouhani: Kiongozi Muadhamu amewapa motisha wanasayansi kwa kupigwa chanjo ya Iran
Jun 26, 2021 12:48Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema hatua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya kupigwa chanjo ya Corona ya COVIran Barekat imewapa motisha na kuwashajiisha wanasayansi wa Jamhuri ya Kiislamu walioizalisha chanjo yenyewe.
-
Chanjo ya Corona inayoundwa na IRGC ya Iran kuzinduliwa karibuni
Jun 23, 2021 02:29Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 iliyozalishwa na Chuo Kikuu cha Sayansi za Tiba cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) itazinduliwa ndani ya siku chache zijazo.
-
Afrika Kusini yasema nchi tajiri zinafanya 'apartheid ya chanjo' ya Corona
May 11, 2021 02:50Rais wa Afrika Kusini ametahadharisha kuwa, iwapo nchi tajiri duniani zitaendelea kuhodhi chanjo za ugonjwa wa Covid-19, huku mamilioni ya watu katika nchi masikini wakiendelea kuaga dunia kwa kukosa chanjo hizo, kitendo hicho ni sawa na 'apartheid ya chanjo.'
-
Rwanda mbioni kuwa nchi ya kwanza Afrika kuzalisha chanjo ya Corona
May 08, 2021 12:18Huku bara la Afrika likiendelea kukabiliwa na uhaba wa chanjo za Corona, Rwanda imesema inafanya mashauriano na kampuni kadhaa zinazotengeneza chanjo hizo, ili kuhakikisha zinaanza kuzalishwa katika nchi hiyo ya Kiafrika.