-
Namaki: Iran imepata moja ya chanjo bora zaidi za corona duniani
Apr 26, 2021 10:59Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran hivi sasa imeweza kupata moja kati ya chanjo bora na yenye uwezo zaidi ya corona au COVID-19 duniani. Amesema chanjo hiyo imetengenezwa katika Taasisi ya Pasteur ya Iran.
-
Nusu ya chanjo bilioni 1 za corona imetolewa katika nchi tatu pekee duniani
Apr 25, 2021 06:12Zaidi ya dozi bilioni moja za chanjo za kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 zimekwishapeanwa katika maeneo mbalimbali ya dunia kufikia sasa, lakini zaidi ya asilimia 50 ya chanjo hizo zimetolewa katika nchi tatu pekee.
-
Chanjo ya Corona ya Barekat kuanza kuzalishwa kwa wingi nchini Iran wiki ijayo
Apr 13, 2021 07:54Mwenyekiti wa Ofisi Kuu ya Kutekeleza Maagizo ya Imam Khomeini amesema Wakfu wa Barekat wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran utaanza kuzalisha kwa wingi chanjo ya kukabiliana na virusi vya Corona ya 'COVIran Barekat' kuanzia wiki ijayo Aprili 21.
-
Rais Ramaphosa ataka Afrika ianze kujizalishia chanjo ya Covid-19
Apr 13, 2021 06:51Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema bara la Afrika linahitaji ujuzi na uwezo wa kujitengenezea chanjo za kupambana na ugonjwa wa Covid-19, wakati huu ambapo bara hilo linakumbwa na uhaba mkubwa wa chanjo hizo.
-
7 waaga dunia UK kwa kuganda damu baada ya kupigwa chanjo ya AstraZeneca
Apr 03, 2021 11:57Wakala wa Kudhibiti Madawa Uingereza (MHRA) umesema miongoni mwa watu 30 waliopaata matatizo ya kuganda damu baada ya kupigwa chanjo ya AstraZeneca, saba wameaga dunia.
-
Viongozi wa nchi 23 duniani watoa wito wa kubuniwa mkataba wa kimataifa wa kukabiliana na magonjwa
Mar 31, 2021 03:04Viongozi wa nchi 23 wakishirikiana na Mkuu wa Baraza la Ulaya Charles Michel na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Tedros Adhanom wametoa wito wa kubuniwa mkataba wa kimataifa wa kukabilia na magonjwa mlipuko na migogoro ya afya katika siku zijazo baada ya janga la corona kufichuia jinsi dunia ilivyofeli na kugawanyika katika suala la kupampana na maambukizi ya virusi hivyo.
-
Iran yapokea shehena za chanjo za Corona kutoka India na Cuba
Mar 12, 2021 02:42Shehena ya kwanza ya makumi ya maelfu ya dozi za chanjo ya kubaliana na ugonjwa wa Covid-19 kutoka India iliwasili hapa nchini Iran jana Alkhamisi.
-
Chanjo ya Corona ya Sputnik V ya Russia kuanza kutegenezwa Iran
Feb 20, 2021 03:06Mkuu wa Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa, chanjo ya Corona au COVID-19 ya Sputnik V ya Russia sasa itaanza kutengenezwa hapa nchini.
-
Mkuu mpya wa WTO ataka usawa katika ugavi wa chanjo za Corona
Feb 16, 2021 07:59Mkuu mpya wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) ametahadharisha dhidi ya 'utaifa' katika ugawaji wa chanjo za kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 na kusisitiza kuwa, janga la Corona linaweza kudumaza ukuaji wa uchumi wa nchi zote duniani, maskini na hata tajiri.
-
Majaribio ya chanjo ya kwanza ya COVID-19 iliyotengenezwa nchini Iran
Dec 30, 2020 12:44Chanjo ya corona au COVID-19 iliyotegenezwa na watafiti Wairani imeanza kufanyiwa majaribio kwa wanadamu siku ya Jumanne 29 Disemba ambapo watu waliojitolea wamedungwa chanjo hiyo.