Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Utawala wa Kizayuni waua kigaidi makamanda 3  wa chama cha PLO

    Utawala wa Kizayuni waua kigaidi makamanda 3 wa chama cha PLO

    Sep 30, 2024 04:27

    Shambulio la kigaidi ambalo limetekelezwa na utawala wa Kizayuni katika eneo la "Al-Kola" mjini Beirut, Lebanon limepelekea kuuawa shahidi makamanda watatu waandamizi wa chama cha Ukombozi wa Palestina PLO.

  • SEPAH: Malengo matukufu ya ukombozi wa Quds yamekaribia kufikiwa

    SEPAH: Malengo matukufu ya ukombozi wa Quds yamekaribia kufikiwa

    Sep 29, 2024 02:40

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) ametoa ujumbe maalumu wa pongezi na wa mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon na kusisitiza kuwa, malengo matukufu ya ukombozi wa Quds yamekaribia kufikiwa na historia itathibitisha hilo.

  • Guardian: Shambulio lolote la ardhini litakalofanywa na Israel dhidi ya Lebanon litafeli

    Guardian: Shambulio lolote la ardhini litakalofanywa na Israel dhidi ya Lebanon litafeli

    Sep 28, 2024 07:50

    Gazeti la Guardian la Uingereza limeandika kuwa operesheni yoyote ya ardhini itakayofanywa na utawala wa Israel dhidi ya Lebanon itafeli na kugonga mwamba.

  • Wazayuni washambulia tena vitongoji vya Beirut, Lebanon

    Wazayuni washambulia tena vitongoji vya Beirut, Lebanon

    Sep 28, 2024 04:28

    Ndega za kivita za utawala wa Kizayuni zinaendelea kumeshambulia kikatili mitaa ya kusini mwa Beirut, mji mkuu wa Lebanon.

  • Seneta wa Nigeria: Jinai za Israel Gaza, Lebanon zinaonyesha UN haina maana

    Seneta wa Nigeria: Jinai za Israel Gaza, Lebanon zinaonyesha UN haina maana

    Sep 26, 2024 23:35

    Mwanasiasa wa ngazi ya juu wa Nigeria amesema kuwa, mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza na huko Beirut, mji mkuu wa Lebanon yameonyesha kushindwa kwa dunia kushughulikia suala la Palestina, na pia imeonyesha namna Umoja wa Mataifa ulivyo butu kwa kushindwa kukomesha ukatili na unyama wa Israel.

  • Israel yaua watu wengine 72 na kujeruhi 400 Lebanon, Hizbullah yajibu mapigo kwa makombora

    Israel yaua watu wengine 72 na kujeruhi 400 Lebanon, Hizbullah yajibu mapigo kwa makombora

    Sep 26, 2024 03:17

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua shahidi watu wasiopungua 72 na kuwajeruhi wengine 400 nchini Lebanon katika siku ya tatu mtawalia ya mashambulizi ya kiwendawazimu unayofanya katika ardhi ya nchi hiyo sambamba na makabiliano yanayoendelea baina yake na harakati ya Muqawama ya Hizbullah.

  • Tuhuma na misimamo ya kurudiwarudiwa ya Marekani kwa ulimi wa Joe Biden katika Umoja wa Mataifa

    Tuhuma na misimamo ya kurudiwarudiwa ya Marekani kwa ulimi wa Joe Biden katika Umoja wa Mataifa

    Sep 26, 2024 00:28

    Jumanne ya wiki hii, rais wa Marekani, Joe Biden, alitoa hotuba yake ya mwisho katika kikao cha 79 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York na kukariri madai ya uongo ya siku zote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na dhidi ya kambi ya Muqawama. Rais wa Marekani alidai kuwa eti serikali yake inapigania kuleta amani na utulivu katika ukanda wa Asia Magharibi.

  • Duru mpya ya mashambulizi ya Wazayuni dhidi ya Lebanon

    Duru mpya ya mashambulizi ya Wazayuni dhidi ya Lebanon

    Sep 25, 2024 04:24

    Jeshi la utawala katili wa Israel limeendeleza jinai zake kwa shambulia kwa mabomu maeneo ya raia mashariki mwa Lebanon.

  • Rais Pezeshkian: Umwagaji damu za maelfu ya watu wasio na hatia Lebanon hautabaki bila majibu

    Rais Pezeshkian: Umwagaji damu za maelfu ya watu wasio na hatia Lebanon hautabaki bila majibu

    Sep 25, 2024 00:07

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, jinai za kiholela na za kigaidi zilizofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika siku zilizopita na uchokozi wake mkubwa dhidi ya Lebanon ambao umemwaga damu za maelfu ya watu wasio na hatia hautabaki bila majibu.

  • Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu ataka kusitishwa mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu ataka kusitishwa mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni

    Sep 24, 2024 23:03

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amelaani jinai za hivi karibuni za utawala wa Kizayuni huko Lebanon na kutaka kuwepo na uungaji mkono wa nchi za Kiislamu na serikali zinazotetea amani na usalama duniani kwa ajili ya kusitisha mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS