-
Kuongezwa nguvu za kijeshi za Umoja wa Ulaya nchini Libya
Jun 20, 2016 10:02Umoja wa Ulaya umeamua kuongeza nguvu zake za kijeshi katika opereseheni zake za baharini maarufu kwa jina la Operesheni Sophia, nchini Libya.
-
Dikrii mbili za kushangaza za Aguila Saleh huko Libya
Jun 20, 2016 03:29Aguila Saleh Spika wa bunge la Libya amemteua mtawala wa kijeshi wa kieneo katika kipidi hiki cha kufanyika hamasisho la wote dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh.
-
Libya: Hatuhitaji misaada ya nchi ajinabi kupambana na Daesh
Jun 15, 2016 11:04Naibu Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya amesema kuwa nchi hiyo haihitaji misaada ya nchi ajinabi kwa ajili ya kuendesha vita dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh nchini humo.
-
Algeria yatangaza uungaji mkono wake kwa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya
Jun 13, 2016 10:12Serikali ya Algeria imetangaza rasmi kuwa iko pamoja na inaiunga mkono serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya.
-
Wanajeshi wa Libya waukomboa kikamilifu mji wa Sirte
Jun 11, 2016 02:41Vikosi vya serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya vimetangaza habari ya kuukomboa kikamilifu mji wa kistratajia wa Sirte, uliokua chini ya udhibiti wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Wanajeshi wa serikali wakomboa maeneo muhimu ya mji wa Sirte Libya
Jun 10, 2016 02:53Vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo televisheni ya Russia Today vimeripoti habari ya kukombolewa kikamilifu fukwe za mji wa Sirte na maeneo mengine muhimu ya mji huo wa baada ya kundi la Daesh kuufanya mji huo kuwa ngome yake.
-
Miili mingine 133 ya wahajiri yapatika katika pwani ya Libya
Jun 06, 2016 03:36Shirika la Hilali Nyekundu limetangaza kuwa miili ya 133 ya wahajiri waliokufa maji hivi karibuni wakijaribu kuvuka Bahari ya Mediterranean kuelekea Ulaya imepatikana katika mji wa Zuwara, magharibi mwa Libya.
-
Libya yapinga uingiliaji kijeshi wa madola ya kigeni
Jun 05, 2016 03:03Waziri Mkuu wa Libya amepinga uingiliaji wa kijeshi nchini humo ambao umekuwa ukipangwa na baadhi ya madola kwa kisingizio cha kupambana na magaidi wa ISIS nchini humo.
-
Mamia wauawa katika mashambulizi nchini Libya
Jun 03, 2016 09:43Wanajeshi wawili wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya wameuawa na wengine 12 kujeruhiwa katika shambulizi la kujitoa mhanga lililofanywa na wanamgambo wa kundi la ISIS (Daesh) karibu na mji wa Sirte hapo jana.
-
Miili 25 ya wahajiri yapatikana magharibi mwa Libya
Jun 02, 2016 10:22Shirika la Kimataifa la Hilali Nyekundu limesema kuwa miili ya wahajiri 25 waliokufa maji siku chache zilizopita wakijaribu kuvuka Bahari ya Mediterranean kuelekea Ulaya imepatikana katika mji wa Zuwara, magharibi mwa Libya.