-
Serikali ya Libya yakomboa eneo jengine muhimu la kiistratijia
May 31, 2016 03:19Vikosi maalumu vya kulinda taasisi za mafuta nchini Libya vimefanikiwa kulikomboa eneo moja la kiistratijia mashariki mwa mji wa bandari wa Sirte wa kaskazini mwa nchi hiyo, kutoka mikono mwa kundi la kigaidi la ISIS yaani Daesh.
-
Wahajiri 700 wafa maji pwani ya Libya wakielekea Ulaya
May 29, 2016 09:34Mamia ya wahajiri wamepoteza maisha baada ya boti zao kuzama katika pwani ya Libya katika muda wa siku chache zilizopita.
-
Uingereza yataka fukwe za Libya zizingirwe
May 28, 2016 11:31Kamanda wa zamani wa jeshi la majini la Uingereza ametaka fukwe za Libya zizingirwe kila upande.
-
Meli ya Kivita ya Uingereza yaelekea Libya kuzuia wahamiaji
May 27, 2016 02:48Uingereza imetangaza kuwa itatuma meli ya kivita nchini Libya kuzuia wahamiaji wa kigeni ambao wanatumia pwani ya nchi hiyo kuvuka Bahari ya Mediterranean na kuiniga Ulaya kinyume cha sheria.
-
Tetesi za kuingia kwa mara nyingine NATO nchini Libya
May 26, 2016 02:27Sambamba na kuongezeka matatizo ya kiusalama Libya, kuna taarifa kuwa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO linapanga kuingilia tena kijeshi katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Libya yauomba Umoja wa Ulaya uisaidie kulinda fukwe zake
May 23, 2016 06:42Serikali ya Libya imeuomba Umoja wa Ulaya uisaidie kulinda fukwe zake kupitia kutoa mafunzo kwa jeshi la majini la nchi hiyo.
-
Khalifa Haftar: Ulaya haiupi uzito utulivu na usalama nchini Libya
May 18, 2016 22:21Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Libya amesema, ana wasiwasi na siasa za nchi za Ulaya kuhusiana na Libya na inaonekana kuwa nchi hizo hazilipi uzito suala la usalama wa nchi hiyo.
-
Madola makubwa duniani yatangaza utayari wa kuisaidia Libya kwa silaha
May 17, 2016 03:22Marekani na madola mengine makubwa kadhaa yametangaza kuwa yako tayari kuisaidia serikali mpya ya Libya kwa silaha katika kupambana na magaidi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Daesh yaua raia 16 wa Ethiopia nchini Libya
May 12, 2016 02:20Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limetoa kanda mpya ya video ya kuogofya inayoonyesha namna magaidi hao wanavyowaua kinyama raia wa Ethiopia nchini Libya.
-
Watu 8 wauawa Misri, el Sisi ataka vikwazo dhidi ya Libya viondolewe
May 08, 2016 03:06Watu wenye silaha wamelishambulia basi moja lililokuwa na maafisa wa polisi katika eneo la Halwan, kusini mwa mji mkuu wa Misri, Cairo, na kuua watu wanane akiwemo afisa mmoja wa polisi.