-
Umoja wa Mataifa wamtaka Khalifa Haftar akomeshe mashambulizi dhidi ya Tripoli, Libya
Apr 06, 2019 10:21Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kundi la G7 limtaka Jenerali Khalifa Haftar akomeshe mashambulizi yake dhidi ya mji mkuu wa Libya, Tripoli na kuelezea wasiwasi wao mkubwa kuhusu hali ya nchi hiyo ya Kiarabu ya kaskazini mwa Afrika.
-
Katibu Mkuu UN asikitishwa na hali ya mambo Libya
Apr 05, 2019 23:38Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametembelea Libya na kusema anaondoka nchini humo akiwa na hofu na moyo mzito.
-
Guterres: Kuna haja ya kuunganishwa taasisi za Libya kabla ya uchaguzi
Apr 04, 2019 03:29Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitembelea Libya siku chache kabla ya kufanyika kongamano la kitaifa la kuandaa mazingira ya kufanyika uchaguzi nchini humo.
-
Wahajiri haramu zaidi ya 100 watiwa mbaroni nchini Libya
Mar 29, 2019 21:49Kambi moja ya jeshi la Libya imetangaza kuwa wahajiri haramu zaidi ya 100 wametiwa mbaroni katika mji wa Tobruk mashariki mwa nchi hiyo.
-
Hofu ya Haftar kuuhujumu na kuuteka mji mkuu wa Libya, Tripoli
Mar 09, 2019 11:27Wakaazi wa mji mkuu wa Libya, Tripoli wana hofu kubwa kuwa mji huo utahujumiwa na hatimaye kutekwa na askari kutoka eneo la mashariki mwa nchi hiyo wanaaongozwa na Jenerali Khalifa Haftar.
-
Serikali ya Tobruk, Libya yatoa hukumu ya kuachiwa huru wapambe wa Gaddafi
Mar 08, 2019 08:05Serikali ya Libya yenye makao yake makuu katika mji wa Tobruk imetoa amri ya kuachiwa huru baadhi ya wanasiasa mashuhuri wa serikali ya dikteta wa zamani wa nchi hiyo, Kanali Mumammar Gaddafi.
-
Mkuu wa Baraza Kuu la Libya atembelea Qatar wakati huu wa kuongezeka ushindani kati ya nchi za Kiarabu
Mar 03, 2019 12:07Mkuu wa Baraza Kuu la Libya amefanya safari rasmi ya kuitembelea nchi ndogo ya Qatar katika wakati huu ambapo nchi hiyo imezingirwa kila upande na nchi nne za Kiarabu za Saudi Arabia, Imarati, Bahrain na Misri.
-
Jenerali Haftar afikia mapatano na serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya
Feb 28, 2019 12:19Ujumbe wa wawakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa wanaohusika na masuala ya Libya umetangaza kuwa, Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya na kamanda wa Jeshi la Taifa la nchi hiyo wamefikia makubaliano juu ya kuitisha uchaguzi.
-
AU, UN kuandaa kongamano la maelewano Libya
Feb 12, 2019 10:41Kamishna wa Amani na Usalama katika Umoja wa Afrika Smail Chergui amesema wameafikiana na Umoja wa Mataifa kuhusu kuandaa kongamano la maelewano ya kitaifa nchini Libya.
-
Jeshi la Taifa Libya ladhibiti medani kubwa zaidi ya mafuta nchini humo
Feb 12, 2019 04:27Jeshi la Taifa la Libya linaloongozwa na Jenerali Khalifa Haftar limedhibiti kikamilifu medani na kisima kikubwa zaidi cha mafuta cha nchi hiyo.