Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Pendekezo jipya la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya utatuzi wa mgogoro wa Libya

    Pendekezo jipya la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya utatuzi wa mgogoro wa Libya

    Nov 21, 2016 23:14

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ametoa pendekezo la kuteuliwa Waziri Mkuu mpya wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa.

  • Mjumbe wa UN asisitiza kufanyika mazungumzo kuhusu mgogoro wa Libya

    Mjumbe wa UN asisitiza kufanyika mazungumzo kuhusu mgogoro wa Libya

    Nov 14, 2016 23:22

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Libya amesema kuwa mazungumzo na kujiepusha na mivutano ya kijeshi huko Libya ndiyo njia pekee itakayoupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.

  • AU yasema mzozo wa Libya hauhitaji suluhisho la kijeshi

    AU yasema mzozo wa Libya hauhitaji suluhisho la kijeshi

    Nov 09, 2016 04:10

    Viongozi wa Umoja wa Afrika AU wanakutana nchini Ethiopia kujadili mgogoro wa kisiasa na kiusalama unaoikabili Libya kwa sasa.

  • Miili kumi ya wahajiri yapatikana kwenye boti katika maji ya Libya

    Miili kumi ya wahajiri yapatikana kwenye boti katika maji ya Libya

    Nov 06, 2016 04:32

    Kikosi cha ulinzi katika pwani ya Italia kimeripoti kuwa kimepata miili ya wahajiri kumi walioaga dunia ikiwa ndani ya boti katika maji ya Libya.

  • Wahajiri 239 wafariki dunia pwani ya Libya wakielekea Ulaya

    Wahajiri 239 wafariki dunia pwani ya Libya wakielekea Ulaya

    Nov 03, 2016 12:55

    Umoja wa Mataifa umesema wahajiri 239 wali0kuwa wakielekea barani Ulaya wamepoteza maisha baada ya boti zao kuzama katika pwani ya Libya.

  • Wakimbizi 700 waokolewa katika bahari ya Medditerranean

    Wakimbizi 700 waokolewa katika bahari ya Medditerranean

    Oct 27, 2016 01:52

    Gadi ya ulinzi wa fukweni ya Italia imetangaza habari ya kuokolewa wakimbizi zaidi ya 700 katika bahari ya Mediterranean.

  • Waziri Mkuu wa Libya yupo tayari kufanya mazungumzo na Haftar

    Waziri Mkuu wa Libya yupo tayari kufanya mazungumzo na Haftar

    Oct 24, 2016 09:48

    Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa na Baraza la Uongozi la Libya amesema yupo tayari kufanya mazungumzo na kamanda wa jeshi la taifa la nchi hiyo lililoko mashariki mwa nchi hiyo ili kutatua mgogoro wa Libya.

  • Daesh yafanya juhudi za kujizatiti kaskazini mwa Libya

    Daesh yafanya juhudi za kujizatiti kaskazini mwa Libya

    Oct 22, 2016 06:26

    Kundi la kigaidi la Daesh linafanya juhudi zake za mwisho za kulinda uwepo wake katika mji wa Sirte wa kaskazini mwa Libya.

  • Jeshi la Libya lasonga mbele Sirte, magaidi wa Daesh waendelea kupigwa

    Jeshi la Libya lasonga mbele Sirte, magaidi wa Daesh waendelea kupigwa

    Oct 21, 2016 00:29

    Jeshi la Libya linaloiunga mkono serikali ya umoja wa kitaifa limesonga mbele zaidi katika mji wa Sirte unaotambuliwa kuwa ngome kuu ya kundi la kigaidi la Daesh nchini humo.

  • Mgogoro wa kisiasa waongezeka nchini Libya

    Mgogoro wa kisiasa waongezeka nchini Libya

    Oct 17, 2016 12:20

    Taasisi ya kulinda usalama iliyoko chini ya amri ya baraza la uongozi wa Libya imetangaza kujitenga na baraza hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS