Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

maandamano

  • ZANU-PF: Mugabe hatojiuzulu licha ya maandamano

    ZANU-PF: Mugabe hatojiuzulu licha ya maandamano

    Jul 08, 2016 00:18

    Chama tawala nchini Zimbabwe cha ZANU-PF kimesema Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo hatajiuzulu licha ya mgomo wa wafanyakazi na maandamano ya wananchi kulalamikia uongozi wake na hali mbaya ya uchumi.

  • Maandamano Zimbabwe kulalamikia hali mbaya ya uchumi

    Maandamano Zimbabwe kulalamikia hali mbaya ya uchumi

    Jul 04, 2016 23:21

    Polisi nchini Zimbabwe wametumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya maelfu ya madereva waliokuwa wakiandamana kulalamikia hali inayozidi kuwa mbaya ya uchumi wa nchi hiyo.

  • Wabahrain waandamana kumuunga mkono Sheikh Qassim

    Wabahrain waandamana kumuunga mkono Sheikh Qassim

    Jul 03, 2016 03:05

    Kwa mara nyingine tena wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ya kuonyesha uungaji mkono wao kwa mwanachuoni mkubwa wa Kiislamu, Ayatullah Sheikh Isa Qassim ambaye hivi karibuni alivuliwa uraia na utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain.

  • Mamilioni ya watu washiriki maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds kote duniani

    Mamilioni ya watu washiriki maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds kote duniani

    Jul 01, 2016 03:23

    Mamilioni ya watu hapa Iran na katika nchi zingine kote duniani wanashiriki maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds, kuonyesha uungaji mkono wao kwa wananchi madhulumu wa Palestina sambamba na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika ardhi zao unazozikalia kwa mabavu.

  • Wairaqi waandamana kumuunga mkono Sheikh Qassim wa Bahrain

    Wairaqi waandamana kumuunga mkono Sheikh Qassim wa Bahrain

    Jun 25, 2016 02:08

    Wananchi wa Iraq wamefanya maandamano ya kuonyesha uungaji mkono wao kwa mwanachuoni mkubwa wa Kiislamu Ayatullah Sheikh Isa Qassim ambaye hivi karibuni alivuliwa uraia na utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain.

  • HRW: Watu 400 wameuawa katika maandamano dhidi ya serikali Ethiopia

    HRW: Watu 400 wameuawa katika maandamano dhidi ya serikali Ethiopia

    Jun 16, 2016 11:01

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema mamia ya watu wameuawa katika maandamano ya wananchi dhidi ya serikali ya Ethiopia, kuanzia Novemba mwaka jana hadi sasa.

  • Watu saba wauawa na kujeruhiwa Kenya

    Watu saba wauawa na kujeruhiwa Kenya

    Jun 06, 2016 23:11

    Mapigano kati ya vikosi vya usalama na waandamanaji katika mji wa Kisumu Kenya yamesababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi wengine sita.

  • Walowezi wa Kizayuni wafanya maandamano Quds, wavamia al-Aqsa

    Walowezi wa Kizayuni wafanya maandamano Quds, wavamia al-Aqsa

    Jun 06, 2016 02:59

    Maelfu ya walowezi wa Kizayuni wamefanya maandamano ya kutiliwa shaka mashariki mwa Quds inayokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel na kuzusha hali ya taharuki katika eneo hilo.

  • Wafuasi wa upinzani DRC kuandaa maandamano Kinshasa leo

    Wafuasi wa upinzani DRC kuandaa maandamano Kinshasa leo

    May 25, 2016 22:55

    Vyombo vya usalama katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vimeupa idhini muungano wa vyama vya upinzani nchini humo kuandaa maandamano katika mji mkuu Kinshasa hii leo.

  • Maelfu waandamana Zimbabwe kumuunga mkono Mugabe

    Maelfu waandamana Zimbabwe kumuunga mkono Mugabe

    May 25, 2016 10:02

    Maelfu ya wananchi wa Zimbabwe wamejitokeza barabarani katika mji mkuu Harare, kushiriki maandamano ya kuonyesha uungaji mkono wao kwa rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe, mwenye umri wa miaka 92.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS