-
Maandamano dhidi ya serikali yafanyika Ghana
Apr 07, 2016 03:50Wananchi wa Ghana wameandamana katika mji wa katikati mwa nchi hiyo dhidi ya serikali.
-
Upinzani Kongo Brazzaville waitisha maandamano dhidi ya Rais Nguesso
Mar 27, 2016 10:03Viongozi wa upinzani nchini Kongo Brazzaville wameitisha maandamano ya nchi nzima kupinga kuchaguliwa tena Rais Denis Sassou Nguesso mwenye umri wa miaka 72.
-
Wabangali waandamana kulaani njama za kufuta Uislamu kuwa dini rasmi
Mar 26, 2016 03:42Maelfu ya wananchi wa Bangladesh wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo kukosoa kile walichokitaja kuwa njama za baadhi ya watu wanaojiita 'mashuhuri' nchini humo kutaka Uislamu usitambuliwe kuwa dini rasmi ya nchi hiyo.
-
Wamarekani waandamana kuupinga utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 21, 2016 03:48Idadi kubwa ya Mayahudi ambao ni wafuasi wa Kanisa la Orthodox pamoja na wanaharakati wa Kipalestina wameandamana nchini Marekani na kukusanyika mbele ya Ikulu ya White House wakiulaani utawala haramu wa Israel unaotenda jina kila leo dhidi ya Wapalestina.
-
Waislamu India wapinga uchochezi wa Wahindu
Mar 02, 2016 03:45Waislamu wa India wamefanya maandamano mjini New Delhi wakipinga vitendo vya kichochezi vinavyofanywa na Wahindu wenye misimamo mikali.
-
Wanafunzi wateketeza kwa moto chuo kikuu Afrika Kusini
Feb 26, 2016 12:47Wanafunzi waliogoma nchini Afrika Kusini wameteketeza kwa moto majengo kadhaa ya chuo kikuu.
-
Maandamano ya upinzani DRC yaanza bila kishindo, wapinzani wakamatwa
Feb 16, 2016 04:43Polisi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inawazuilia wanaharakati 6 wa nchi hiyo ambao wanaaminika kuwachochea wananchi wajitokeze kwa wingi katika maandamano ya leo ya kumshinikiza Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo kujiuzulu wadhifa wake atakapomaliza muhula wake Disemba mwaka huu.
-
Maandamano Nigeria kushinikiza kuachiwa huru Sheikh Zakzaky
Feb 16, 2016 04:10Kwa mara nyingine tena maelfu ya wananchi wa Nigeria wamefanya maandamano katika mji wa Bauchi, kaskazini mashariki mwa nchi, kushinikiza kuachiwa huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Wabahrain waendesha kampeni ya uasi wa kiraia
Feb 12, 2016 12:07Wananchi wa Bahrain leo wameandamana katika miji na vijiji kadhaa katika kampeni ya uasi wa kiraia huku wakijitayarisha kuadhimisha mwaka wa tano wa mwamko dhidi ya utawala wa kiimla wa Aal Khalifa.
-
Arubaini ya Sheikh Nimr yaadhimishwa kwa maandamano
Feb 12, 2016 04:46Arubaini ya Sheikh Nimr Baqir al-Nimr, mwanachuoni wa Kiislamu aliyeuawa shahidi na utawala wa Aal-Saud imeadhimishwa kwa maandamano ya maelfu ya watu nchini Saudi Arabia na Bahrain.