Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mahakama

  • Kasisi wa Marekani kupandishwa kizimbani Uturuki kwa tuhuma za ugaidi

    Kasisi wa Marekani kupandishwa kizimbani Uturuki kwa tuhuma za ugaidi

    Mar 20, 2018 12:12

    Kasisi mmoja raia wa Marekani huenda akahukumiwa kifungo cha miaka 35 jela nchini Uturuki iwapo atapatikana na hatia katika tuhuma za ugaidi na ujasusi zinazomkabili.

  • Mahakama Misri yaidhinisha Saudia kupewa visiwa vya nchi hiyo

    Mahakama Misri yaidhinisha Saudia kupewa visiwa vya nchi hiyo

    Mar 04, 2018 04:25

    Mahakama ya Juu nchini Misri imefutilia mbali maamuzi yaliyotolewa na mahakama za chini za nchi hiyo kuhusu mpango wa kukabidhi visiwa viwili vya kistratajia vya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika kwa Saudi Arabia.

  • Serikali yavunja chama kikuu cha upinzani Equatorial Guinea

    Serikali yavunja chama kikuu cha upinzani Equatorial Guinea

    Feb 27, 2018 11:02

    Mahakama moja ya Equatorial Guinea imevunja chama kikuu cha upinzani nchini humo sambamba na kuwasweka jela makumi ya wanaharakati.

  • UN yaitaka serikali ya Kenya iheshimu uhuru wa vyombo vya habari

    UN yaitaka serikali ya Kenya iheshimu uhuru wa vyombo vya habari

    Feb 03, 2018 04:05

    Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Kenya kuheshimu agizo la mahakama lililoitaka ibatilishe hatua yake ya kuzifungia televisheni tatu kupeperushaji matangazo baada ya stesheni hizo kurusha moja kwa moja hafla ya kuapishwa kiongozi wa upinzani wa nchi hiyo Raila Odinga.

  • Mahakama Kuu ya Kenya yaagiza kufunguliwa kwa runinga zilizokatiwa matangazo

    Mahakama Kuu ya Kenya yaagiza kufunguliwa kwa runinga zilizokatiwa matangazo

    Feb 01, 2018 11:10

    Mahakama Kuu nchini Kenya imesimamisha agizo la serikali ya nchi hiyo la kufunga kwa muda usiojulikana urushaji wa matangazo ya vituo vitatu maarufu vya televisheni nchini humo.

  • Misri yawahukumu maisha jela wanachama wa Ikhwani

    Misri yawahukumu maisha jela wanachama wa Ikhwani

    Jan 30, 2018 23:52

    Katika kile kinachoonekana na mwendelezo wa hukumu za kidhalimu dhidi ya wafuasi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri, Mahakama ya Jinai ya Cairo imewahukumu kifungo cha maisha jela wanachama sita wa harakati hiyo.

  • Misri yawanyonga washukiwa wengine wanne wa ugaidi

    Misri yawanyonga washukiwa wengine wanne wa ugaidi

    Jan 02, 2018 10:53

    Mamlaka ya Magereza ya Misri imetekeleza hukumu ya kuwanyonga watu watano wakiwemo wanne waliopatikana na hatia ya kutekeleza mashambulizi ya bomu yalioua maafisa usalama miaka miwili iliyopita.

  • Makumi ya Wanyarwanda wafunguliwa mashitaka ya ugaidi Uganda

    Makumi ya Wanyarwanda wafunguliwa mashitaka ya ugaidi Uganda

    Dec 29, 2017 04:35

    Habari kutoka Kampala, mji mkuu wa Uganda zinasema raia 45 wa Rwanda wanaozuiliwa katika kituo cha polisi cha Nalufenya wilayani Jinja wamefunguliwa mashitaka ya ugaidi.

  • Watetezi wa haki za binadamu Misri walaani kunyongwa washukiwa wa ugaidi

    Watetezi wa haki za binadamu Misri walaani kunyongwa washukiwa wa ugaidi

    Dec 28, 2017 04:20

    Mashirika saba ya kutetea haki za binadamu nchini Misri yamekosoa vikali hatua ya Misri kuwanyonga watu 15 waliopatikana na hatia ya kufanya mashambulizi ya kigaidi yaliyoua askari usalama huko kaskazini mwa Peninsula ya Sinai.

  • Mladic, aliyeongoza mauaji ya Waislamu 8,000 Bosnia ahukumiwa kifungo cha maisha jela

    Mladic, aliyeongoza mauaji ya Waislamu 8,000 Bosnia ahukumiwa kifungo cha maisha jela

    Nov 22, 2017 12:56

    Mahakama ya Kimataifa ya Yugoslavia ya Zamani ICTY yenye makao yake mjini The Hague nchini Uholanzi imemhukumu kifungo cha maisha jela Jenerali Ratko Mladic, aliyekuwa kamanda wa kijeshi wa Serbia baada ya kupatikana na hatia ya kuagiza kuuawa maelfu ya Waislamu huko Srebrenica mwaka 1995.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS