-
Vyama vya upinzani Angola vyaenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi
Sep 09, 2017 03:27Vyama vitatu vya upinzani nchini Angola vimewasilisha malalamiko mahakamani dhidi ya matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo hivi karibuni, ambapo chama tawala cha MPLA kilitangazwa kuibuka mshindi.
-
Mahakama ya Pakistan: Musharaf anasakwa katika kesi ya mauaji ya Bhutto
Sep 01, 2017 03:45Rais wa zamani wa Pakistan, Parvez Musharaf anasakwa na vyombo vya sheria vya nchi hiyo kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya mwaka 2007 ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Pakistan Bi Benazir Bhutto.
-
Mahakama ya Misri yawahukumu kifungo cha maisha watu 25
Aug 29, 2017 10:24Mahakama nchini Misri imewahukumu watu 25 kifungo cha maisha jela kwa tuhuma za kuhusika na matukio ya utumiaji mabavu ya mwaka 2015 nchini humo.
-
Odinga kwenda Mahakama ya Juu Kenya kupinga matokeo ya urais
Aug 16, 2017 11:18Kinara wa muungano wa upinzani wa NASA nchini Kenya, Raila Odinga hatimaye amepasua mbarika na kusema kuwa ataenda katika Mahakama ya Juu ya nchi kupinga matokeo ya kura za urais yaliyompa ushindi Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee.
-
Kiongozi wa upinzani wa Zambia aachiwa huru, afutiwa kesi ya uhaini
Aug 16, 2017 09:51Kinara wa upinzani nchini Zambia, Hakainde Hichilema ameachiwa huru na kutoka gerezani hii leo baada ya Mkuu wa Mashtaka ya Umma kumfutia mashtaka ya uhaini.
-
Zambia kumuachia huru kiongozi wa upinzani, kumfutia mashtaka ya uhaini
Aug 13, 2017 09:31Serikali ya Zambia inatazamiwa kumfutia mashitaka ya uhaini sambamba na kumuachia huru kiongozi mkuu wa upinzani nchini humo, Hakainde Hichilema.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan ajiuzulu kufuatia uamuzi wa mahakama
Jul 28, 2017 09:41Waziri Mkuu wa Pakistan, Nawaz Sharif amejiuzulu wadhifa wake baada ya Mahakama ya Juu nchini humo kumuengua madarakani kutokana na kashfa ya ufisadi.
-
Misri yawahukumu maisha jela wanaharakati 43 wa Ikhwani
Jul 25, 2017 22:38Mahakama ya Jinai ya Misri imewahukumu wanaharakati 43 wa harakati ya Ikhwanul Muslimin kifungo cha maisha jela kwa madai kwamba wamepatikana na hatia ya kushiriki maandamano dhidi ya serikali.
-
Wamisri 292 wafikishwa mahakamani kwa tuhuma ya kutaka kumuua al Sisi
Jul 10, 2017 01:34Watu 292 wa Misri wamefikishwa katika mahakama ya kijeshi ya nchi hiyo kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na kundi la kigaidi la Daesh na kupanga njama ya kutaka kumuua Rais wa nchi hiyo, Abdul Fattah al Sisi.
-
Kiongozi wa upinzani Niger ahukumiwa kifungo jela
Jun 06, 2017 09:18Mahakama moja nchini Niger hii leo imetoa hukumu ya kifungo cha miezi mitatu jela dhidi ya kiongozi wa upinzani nchini humo, aliyekuwa akikabiliwa na mashitaka ya kuchochea mapinduzi dhidi ya serikali.