Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mahakama

  • Rais wa zamani wa Burkina Faso kupandishwa kizimbani mwezi ujao

    Rais wa zamani wa Burkina Faso kupandishwa kizimbani mwezi ujao

    Feb 16, 2017 04:23

    Rais wa zamani wa Burkina Faso anatazamiwa kupandishwa kizimbani mwezi ujao wa Machi, kwa kosa la kutumia mkono wa chuma kuzima maandamano dhidi ya serikali yake mwaka 2014.

  • Mahakama Zambia kuamua iwapo Rais Lungu atagombea tena urais au la

    Mahakama Zambia kuamua iwapo Rais Lungu atagombea tena urais au la

    Feb 05, 2017 23:12

    Mahakama ya Katiba ya Zambia imetangaza tarehe 21 mwezi huu wa Februari kuwa siku ya kusikiliza kesi ya wapinzani nchini humo wanaotaka ufafanuzi wa kikatiba kuhusu iwapo Rais Edgar Lungu wa nchi hiyo anafaa kuwania urais kwa muhula wa tatu au la mwaka 2021.

  • Kwa mara nyingine mahakama ya Nigeria yataka kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky

    Kwa mara nyingine mahakama ya Nigeria yataka kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky

    Feb 01, 2017 12:12

    Mahakama Kuu ya Shirikisho la Nigeria, kwa mara nyingine tena imetoa amri ya kuachiliwa huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo na mke wake.

  • Utawala wa Bahrain wazidi kukosolewa kwa kuwanyonga wanaharakati

    Utawala wa Bahrain wazidi kukosolewa kwa kuwanyonga wanaharakati

    Jan 17, 2017 04:06

    Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amelaani hatua ya Bahrain ya kuwanyonga vijana watatu wanaharakati wa nchi hiyo kwa madai bandia ya kuhusika na shambulizi la mwaka 2014, huku akikosoa kimya cha jamii ya kimataifa juu ya ukatili huo.

  • Mfamle Mumbere wa Uganda kizimbani, kujua hatima yake leo

    Mfamle Mumbere wa Uganda kizimbani, kujua hatima yake leo

    Jan 13, 2017 04:41

    Mfalme wa Rwenzururu eneo la Rwenzori nchini Uganda, Charles Wesley Mumbere, ambaye anazuiliwa na vyombo vya usalama kwa tuhuma za uhaini anatazamiwa kujua hatima yake leo atakapofikishwa mahakamani.

  • Ethiopia yawafunga jela wanaharakati wanaoshinikiza sheria za Kiislamu

    Ethiopia yawafunga jela wanaharakati wanaoshinikiza sheria za Kiislamu

    Jan 04, 2017 03:44

    Mahakama moja nchini Ethiopia imewahukumu vifungo jela wanaharakati 20 wa nchi hiyo ambao wamekuwa wakishinikiza kutumika sheria za Kiislamu nchini humo.

  • Wilders apatikana na hatia ya ubaguzi dhidi ya Waislamu Uholanzi

    Wilders apatikana na hatia ya ubaguzi dhidi ya Waislamu Uholanzi

    Dec 09, 2016 23:22

    Geert Wilders mbunge mwenye chuki dhidi ya Uislamu nchini Uholanzi amepatikana na hatia ya kuwatusi watu wenye asili ya Morocco na kuwabagua.

  • Kuendelea kuhukumiwa wafanya mauaji ya kimbari nchini Rwanda

    Kuendelea kuhukumiwa wafanya mauaji ya kimbari nchini Rwanda

    Dec 05, 2016 00:26

    Licha ya kupita miaka zaidi ya 20 tangu yalipotokea mauaji ya kimbari nchini Rwanda, watendaji ya jinai hizo wanaendelea kuhukumiwa hadi leo hii.

  • Mahakama ya Nigeria yatoa amri ya kuachiwa huru Sheikh Zakzaky

    Mahakama ya Nigeria yatoa amri ya kuachiwa huru Sheikh Zakzaky

    Dec 03, 2016 12:50

    Hatimaye na baada ya kupita zaidi ya mwaka mmoja tangu kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky atiwe nguvuni, mahakama ya nchi hiyo imetoa amri ya kuachiwa huru mara mmoja kiongozi huyo.

  • Mahakama Nigeria yamnyima dhamana mkuu wa Biafra

    Mahakama Nigeria yamnyima dhamana mkuu wa Biafra

    Dec 02, 2016 04:33

    Mahakama Kuu ya Nigeria imekataa kumuachia huru kwa dhamana mkuu wa harakati ya Biafra inayopigania kujitenga na Nigeria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS