Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mahakama

  • Kikao cha kusikiliza kesi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky chaakhirishwa

    Kikao cha kusikiliza kesi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky chaakhirishwa

    Nov 27, 2016 03:51

    Kikao cha kusikiliza kesi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria kimeakhirishwa na kupangiwa tarehe nyingine.

  • Hukumu ya miaka 2 jela kwa aliyenajisi mabinti 100 Malawi yakosolewa

    Hukumu ya miaka 2 jela kwa aliyenajisi mabinti 100 Malawi yakosolewa

    Nov 23, 2016 04:38

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu na asasi za kupambana na maambukizi ya virusi vya HIV nchini Malawi zimekosoa vikali hukumu ya kufungwa miaka miwili jela, iliyotolewa na mahakama moja nchini humo, dhidi ya mwathirika wa virusi vya HIV aliyewanajisi mabinti wadogo zaidi 100 kwa madai ya kuwasafisha na kuwafanyia tambiko la kimila na kiutamaduni.

  • Misri yaidhinisha kifungo cha maisha jela dhidi ya kiongozi wa Ikhwani

    Misri yaidhinisha kifungo cha maisha jela dhidi ya kiongozi wa Ikhwani

    Oct 27, 2016 04:33

    Mahakama ya Rufaa nchini Misri jana Jumatano ilitilia nguvu hukumu iliyotolewa na mahakama ya chini ya kifungo cha maisha jela kwa kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin.

  • Harakati ya Kiislamu Nigeria kotini kupinga marufuku dhidi yake

    Harakati ya Kiislamu Nigeria kotini kupinga marufuku dhidi yake

    Oct 21, 2016 10:31

    Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeelekea mahakamani kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa serikali kupiga marufuku shughuli za harakati hiyo katika jimbo la Kaduna.

  • Misri yaanza kusikiliza kesi kuhusu visiwa vya Sanafir na Tiran

    Misri yaanza kusikiliza kesi kuhusu visiwa vya Sanafir na Tiran

    Oct 09, 2016 04:24

    Mahakama moja nchini Misri imeanza kusikiliza rufaa ya serikali ya Cairo ya kupinga uamuzi wa mahakama ya chini ya nchi hiyo wa kutaka Saudi Arabia ipokonywe visiwa vya kistratajia vya Tifan na Sanafir, milki ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Hatima ya Mugabe kutolewa madarakani na mahakama ya katiba Zimbabwe

    Hatima ya Mugabe kutolewa madarakani na mahakama ya katiba Zimbabwe

    Oct 08, 2016 10:35

    Hatima ya Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ambaye ameiongoza nchi hiyo tangu ijinyakulie uhuru sasa ipo mikononi mwa mahakama ya katiba ya nchi hiyo.

  • Askari walioshirikiana na al-Qaeda Kodivaa wafungwa miaka 10 jela

    Askari walioshirikiana na al-Qaeda Kodivaa wafungwa miaka 10 jela

    Aug 05, 2016 09:16

    Askari wawili wa Ivory Coast wamehukumiwa kifungo cha miaka kumi jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kushirikiana na kuwa na mafungumano na kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Qaeda.

  • Aliyenajisi mabinti 100 Malawi kufungwa jela maisha?

    Aliyenajisi mabinti 100 Malawi kufungwa jela maisha?

    Aug 05, 2016 23:24

    Mahakama moja nchini Malawi imemnyima dhamana mwathirika wa virusi vya HIV aliyewanajisi mabinti wadogo zaidi 100 kwa madai ya kuwasafisha na kuwafanyia tambiko la kimila na kiutamaduni.

  • Mahakama yaakhirisha kesi ya Sheikh Issa Qassim

    Mahakama yaakhirisha kesi ya Sheikh Issa Qassim

    Jul 27, 2016 09:42

    Utawala wa Aal Khalifa leo umesikiliza kikao cha kwanza cha kesi iinayomkabili Sheikh Issa Qassim kiongozi wa Washia wa Bahrain.

  • Wasomi wa Kiislamu Bahrain:Kesi dhidi ya Sh. Qassim ni bandia

    Wasomi wa Kiislamu Bahrain:Kesi dhidi ya Sh. Qassim ni bandia

    Jul 27, 2016 02:57

    Kundi la wanazuoni wa Kiislamu wa madhehebua ya Shia nchini Bahrain limesema tuhuma dhidi ya msomi mwenzao Ayatullah Sheikh Isa Qassim hazina msingi na kwa mantiki hiyo, kesi inayotazamiwa kuanza hii leo dhidi ya mwanachuoni huyo ni bandia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS